TTCL yaomba bil.70/- kujiimarisha

Wadau, kuna wakati huwa napata shida sana na mashirika yetu ya serikai/umma aka "ya wazalendo".

To be honest sioni uzalendo wowote zaidi ya very high operating cost, ufujaji na inefficiencies... nachelea sana kuelewa kwanini vodacom, tigo, zantel etc hadi sasa sijasikia wakipiga kelele kuomba msaada wakati wapo kwenye the same industry na ttcl, kibaya zaidi, ttcl wana infrastructure kubwa na wider kuliko hao wengine, lakini wamedumaa na kudumaza their very own company

given options available na hali halisi ya nchi, kuwapa ttcl hata laki moja ni kuhujumu uchumi na ni bora either wangeuza au kuingia ubia na watu kama voda, airtel tigo, sasatel etc kuboresha walichonacho

rai yangu kwa serikali, seel ttcl or find potential partners, dont even thing of pumping money... tuangalie bima, atcl, trl etc wanavyotafuna kama mchwa
 
Kaka, nilijua utanipata tu natokea wapi, na suala la creativity ni hadithi embu jiulize position ambayo mfanyabiashara yeyote angeichekelea sisi tuna fail hakija mshindani inakuwaje.

Hakuna creativity hapo kwenye uongozi na utakuta jamaa ana li Phd na sasa wanadai msaada wapewe hela obvious kuna matatizo kwenye management and business strategy or simply just cluesless people.
 
Ni bora mara 10000x yale MABILIONI wanayotaka kutuibia kupitia DOWANS wapewe TTCL...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…