TTCL web yenu vipi?

TTCL web yenu vipi?

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,237
Habari
last week niltemebelea tovuti ya ttcl kuna maelezo niliyokuwa natafuta nilichokutana nacho sikukielewa.Baadaye server ikawa haipatikani sijui server illizimwa.Khali hiyo bado ipo hata muda huu.
Inaonekana kuna mtu anafanya marekebisho/updates ila kitu anachokosea ameeacha madudu yanaonekana online.Badala ya kufanya marekebisho hayo offline na web ikikaa vizuri unaupload final mambo yako tofauti.Wakati unafanya marekebisho unaweza kuandika kimessage say "this web is under maintenance" or "we are aware of this downtime" message ya kuwafahamisha visitors.
Column ya kusho(Data products/Value Added) maneno yamepandiliana,ukiclick vacancies utakutana na kachumbali,soma maelezo ya how to apply namba zote ni zero.
Sasa kama kuna watu wa nje wanatembelea tovuti hiyo,what information are you giving about ttcl?We real give a lot information about us without knowing.
 

Attachments

Back
Top Bottom