RUGAHIMBILA E R
Member
- Mar 5, 2009
- 95
- 34
Pamoja na majibu mazuri ya mheshimiwa waziri, lakini kiukweli bado bei zao zipo juu sana.1GB kwa wiki sasa ni 6,000 badala ya 8,000.
1GB kwa mwezi sasa ni 10,000 badala ya 40,000/=
2GB kwa mwezi sasa ni 15,000 badala ya 60,000/=
4GB kwa mwezi sasa ni 25,000 badala ya 90,000/=
Zantel 5GB kwa 20,000/= Mwezi mzima!1GB kwa wiki sasa ni 6,000 badala ya 8,000.
1GB kwa mwezi sasa ni 10,000 badala ya 40,000/=
2GB kwa mwezi sasa ni 15,000 badala ya 60,000/=
4GB kwa mwezi sasa ni 25,000 badala ya 90,000/=
Zantel 5GB kwa 20,000/= Mwezi mzima!
Mimi bhabha nimehamia zantel kwa kale kabando ka kimaskini 1500/= MB 150 kwa mwezi baada ya Airtel kuondoa MB 400 2500/= kwa mwezi
mkuu uliona kama ametumia lugha ya bungeni!!Mwanzoni kabla sijaona vizuri nilidhani umeserukamba hapo kwenye red