TTCL mobile 4G

Hiyo ping sio mbaya kiasi hicho, na hapo inategemea na download location waliyotumia, after all ping ya sites nyingi kutokea Africa itakua hiyo kwa sababu sites nyingi hazina CDN zilizo karibu na nchi yako, the closest labda South Africa, wachache sana kama Google na Facebook ndiyo unakuta wanaitahidi kua as close as possible.

Kama ni gaming ofcoz ukihost server yako mwenyewe kushindana na players wengine wa Tanzania ping itakua much less so itafanya just fine, ila ukiingia online multiplayer na jamaa wa US au UK au Asia lazima ujiandae kushindwa all the time.

Overall hiyo speed nimeipenda, hiyo inashindana na top speeds duniani in comparison to wireless networks nyingi zinachezea hapo, tatizo letu lipo bado kwenye wired tu. Ila wamenishangaza sana, majumbani wanatoa hadi 6MBPs wakati uwezo wanao kabisa wa kusupply hata 1GBPs connection.
 
Ttcl mbona huku mikoani sisikii promo zao au bado wapo mjini kwanza
 
naona sasa hivi wana 3g pia, unaweza kuitest?
Taarifa umezipata lini mkuu maana me last week nimeenda moja ya ofisi zao kuchukua line nikashanga kuambiwa hawana 3G me nilikuwa najua wana run zote 3G na 4G ikabidi nigaili sababu at the moment sina device inayo support 4G.
 
nilieka line yao kwenye router nikaeka 3g only ikapandisha minara kadhaa
 
Ping ya tigo 4g ni 30ms....WYTB?
 
Ping ya tigo 4g ni 30ms....WYTB?

Hiyo WYTB ni "What you talking about"???
Basi kumbe hujui maana ya ping, ngoja nikueleze.

Ukiwa unapima ping computer yako inatuma packets (data) ndogo ndogo kwenda kwenye mashine fulani, alafu hiyo mashine itarudisha pong (response) ambayo nayo pia ni packets ndogo ndogo, huo muda wa ping ni muda uliochukua toka kutuma ping na kupata pong.

Sasa ukifuatilia nilichojibu nimesema sites nyingi hazina cdn servers hasa kwa Afrika, kumbuka internet ni infrastructure tu, hizi websites zote ni computer iko sehemu ndiyo inaitwa server, unatuma request inakurudishia response. Kwa hiyo kama unapima speed inategemea kwa wakati huo umekua assigned kwenye server ipi na iko wapi, kama tigo wana server zao tz alafu zitumike kupima ping unaweza pata hata 3ms, au ukiping computer ya jirani unaweza pata hata 2ms. Hiyo haimaanishi ping ya sites zote ni hiyo, sites kama server ziko mbali ping itakua kubwa tu. Sijui kama tumeelewana, kama bado naomba utumie Google vizuri uelewe.
 
Hyo ping unaona ni nzur mkuu? Ping mbovu sana hyo.. Atleast ingekua chini ya 30 kwa 4g...mana tigo na voda hata halotel 3g sijawah kupata ping mbovu kama hiyo. Voda napata 12 ping.
 
Hyo ping unaona ni nzur mkuu? Ping mbovu sana hyo.. Atleast ingekua chini ya 30 kwa 4g...mana tigo na voda hata halotel 3g sijawah kupata ping mbovu kama hiyo. Voda napata 12 ping.

Naona hukusoma nilichoelezea kuhusu maana ya ping, em pitia post iliyopo juu ya hii ya kwako usome ping maana yake nini.
 
mkuu mbona ttcl hawanaga line tuu za kawaida kama mitandao mingine na njia yao ya kutuma na kupokea pesa kama mitandaom mingine, mfano waiite ttcl pesa? najua wanaweza ku suplly internet kupitia wire au wireless but line zao sijaziona. naomba unitoe ushamba hapa
 
Taarifa umezipata lini mkuu maana me last week nimeenda moja ya ofisi zao kuchukua line nikashanga kuambiwa hawana 3G me nilikuwa najua wana run zote 3G na 4G ikabidi nigaili sababu at the moment sina device inayo support 4G.
line zao ni kama za kawaida au zikoje mkuu? sijawah kuziona
 
line zao ni kama za kawaida au zikoje mkuu? sijawah kuziona
Me niligahirisha kununua baada ya kuambiwa hawana 3G mkuu kwahiyo cjapata bahati ya kuzitia mkononi zaidi ya kuona kwenye matangazo yao.
 
Me niligahirisha kununua baada ya kuambiwa hawana 3G mkuu kwahiyo cjapata bahati ya kuzitia mkononi zaidi ya kuona kwenye matangazo yao.
ungechukua ya 4G, kwan haina uwezo wa kuoperate 3, h+ n.k? mbona naskia 4G ya tigo inafanya yote hayo?
ni sh ngap?
 
kiongozi ,
mi sio mtaalam sana wa mambo haya, ila nimejaribu sana kutumia ttcl 4g. speed yao ni nzuri kama alivyosema mtoa mada ila kiukweli kama unafanya live streaming ni mbovu kuliko hata 3g ya voda. so nadhani kuna relation kubwa sana kati ya ping vs speed when comes to live streaming
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…