kampuni ina changamoto hivyo bado uko nao tu, kwa mteja wa namna yako inabidi wakupe tuzo kabisa.
Mpaka unaanika madhaifu yao ilhali kuna kampuni kibao zenye huduma nzuri zaidi yao, ambapo ungeamua tu kubadili laini.
Ni wazuri Sana kwenye unlimited data kwenye internet hasa kama mkongo imepita kwako unapata unlimited home internet kwa garama isiyozidi 60,000 kwa mwezi

TTCL ni wazuri sana kwenye huduma ya Internet na Vifurushi vya kupiga simu. Huduma nyingine zote ni majanga especially kwenye SMS na hizo huduma za kifedha