mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,511
aisee acha tu.Pole sana kwa kiherehere mkuu!
aisee acha tu.Pole sana kwa kiherehere mkuu!
Rudi nyumbani kumenogaaaNimekuwa mtumiaji wa TTCL kwa muda sasa, mbali na kuwa na changamoto za mtandao ambao kimsingi mi kero lakini imeibuka changamoto nyingine ya kula MBs.
Unajiunga na kifurushi na kupewa MBs 500 lakini namna zinaenda unabaki unashangaa. Na hapo unakuwa umetumia twitter kusoma tu posts, umeingia WhatsApp kusoma meseji na JamiiForums kusoma soma.
Kote huko huja download video wala kuangalia status, ukitumia masaa mawili mfululizo kuwa katika hizo social networks u ajikuta MBs 150 zimekatika. Ni mimi tu au na ninyi waungwana mnakumbana na tatizo hili?
Kuna kipindi voda elfu 20 ulikuwa unapata GB 15 yaani nilikuwa natumia mwezi mzima...TTCL ni wezi aisee. Bundle zao hazina uhalisia na ukiwafuata wanakuwa na maelezp ambayo hayana maana yoyote. Niliachana na line ya TTCL baada ya kuliwa GB zaidi ya 15 kwa masaa. Nikanunua tena zikaliwa. Nikanunua tena zikaliwa. Nikawauliza inawezekanaje ndani ya masaa machache GB zaidi ya 15 zinaisha wakasingizia eti modern yako umeconnect watu wengi, nikasema hata kama wangekuwa 10.., fb, whatsApp na mitandao ya kijamii ndo ile hela mingi kiasi hicho.
Nikaachana nao. Nilijaribu kuwa mzalendo lkn Wanisamehe kwa kweli.
Hujakutana na Voda sasa, ni wezi wakubwa
Vipo nyomi yaani kibwenaMimi niliacha kutumia mtandao wao baada ya mwezi mmoja tangu niliposajili laini yao
Vipi je kuna vifurushi vya Bei nafuu kwa sasa au ni magumashi tu?
Wapo vizuri sanaKwa hiyo sasa hivi TTCL wapo vizuri sio?
Pole sana mkuu.juzi nikajisema wacha niwe mzalendo,nikasajiri line ya TTCL,kuweka vocha kupitia vodacom,wakanitumia sms kwamba sms vocha imefika,nikajiunga kifurushi cha watumishi,na salio likalimwa.
baadae sion mbs,dakika wala salio la sms,naangalia salio kuna shilingi 40 nauliza salio naambiwa hujajiunga kifurushi chochote,nikabaki sielewi nini kimetokea,mpaka sasa niko zangu voda sitaki kuwa na kiherehere tena.
Acha uongoMkuu juzi mzee baba@kcamp kanidondoshea link ya game moja matata
Si nkajidanganya bwana
Nkaweka 2000 kuanzia usiku saa6sijui bule nlisikia
Nkaanza kudownload kufika mb500 ikastack wanasema sinachochote
Bora vodacom![]()
Acha uongo
Unasema uliweka 2000 ulijichanganya kwamba saa 6 ilikuwa bure?Me sijawah kudanganya
Ya Kichina. Itakuwa na Mediatek chipset. Unaweza kuiroot na kuondoa bloatware na udukuzi.Tecno C9
Tukiwaambia tuko kwenye Ufashisti ndiyo inabidi muelewe. Hizi ni pamoja ya athari zake.
Na mtalia sana hadi akili ziwakae sawa.


