TTCL Fanyeni haya ili muwe Kampuni yenye ushindani wa kibiashara

Hiyo kampuni haijielewi.Huduma walizonazo wameshindwa kuziboresha na wamekosa kabisa ubunifu.Kuna wakati unapiga simu kwa hiyo line unasikia makelele yasiyoeleweka utadhani uko kwenye simu kuna mtu anakanyaga mabati bana.
 
wee jamaa acha zako.
 
Waboreshe na hili la MB ilikununua kifurushi kingumine salio libaki Mb 50, ndipo unaweza kuongeza mb zingine. Wafanye kama Halotel unaweza kuongeza MB hata kama salio la mb ni 3Gb utaongeza tu.
 
Vipi kuhusu voda maana,niliona 1GB moja kwa 1000 na dakika kibaooo
 
hawa ndo basi tena. walianza vizuri ila sasa wanaenda kubaya. nishatoa line, wenye halotel kuna kifurushi gani kizuri data kwa wiki?
Kwa halopesa ukijiunga unapewa 3GB kwa week, na sms na dkk for 3000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…