TTCL BB free internet HACK!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Wakuu, kuna mtaalam anayejua kuchakachua hii kitu, ni kwa landline na modem za smartAx mt880. Kama unaweza please tuwasiliane kwa pm tubadilishane. Thanx
 
Wakuu, kuna mtaalam anayejua kuchakachua hii kitu, ni kwa landline na modem za smartAx mt880. Kama unaweza please tuwasiliane kwa pm tubadilishane. Thanx

uhujumu uchumi at work halafu mnamlaumu rais kwa maisha magumu...
 
vipi ya Zantel nayo imefikia wapi maana kipindi cha nyuma kabla hawajabadiri pass word yao watu tulikuwa tunajinafasi mtu akipata tuwasiliane maana hii ya 15,000 kwa 750mb inaumiza kishenzi.
 
yap hivi vibando vinakuwa bei mbaya ishu ni kujaribu kubypass kidogo naomba na mie mtu akipata ani PM please
 
vipi ya Zantel nayo imefikia wapi maana kipindi cha nyuma kabla hawajabadiri pass word yao watu tulikuwa tunajinafasi mtu akipata tuwasiliane maana hii ya 15,000 kwa 750mb inaumiza kishenzi.

wengi huwa wanasema kwamba gsm nyingi huwa zinausumbufu jaribu kusearch utapata link zilizoongelewa hivyo vitu...
 
Kwani huku Jf ni genge la wezi?mhujumu uchumi mkubwa wewe,haufai kuigwa na jamii,hivi ukipewa ofisi si utaiba hadi ufagio na madekio?
 
Back
Top Bottom