TTCL anzisheni Thread (Uzi) hapa JF

TTCL anzisheni Thread (Uzi) hapa JF

T-future

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
544
Reaction score
284
Hamjambo wakuu,

Tunaomba Tanzania Telecom Corporation Limited (TTCL) muanzishe uwanja wa kupokea maoni, critics, na ushauri katika Jamvi pendwa la Jamii Forum kama baadhi ya mashirika na kampuni zilivyofanya mfano Vodacom, Tanesco, NMB n.k

Nadhani pengine mnakurasa katika mitandao mingine ya kijamii yenye dhamira kama hii,

Basi si vibaya pia mkaanzisha Uwanja kama huo hapa katika Platifomu hii makini kabisa.

Mbali na hili, ninawaomba kama mtanzania mzalendo, mjikite katika promotion za simu, matangazo na matamasha ya mikoani ili kuwashtua wananchi ambao bado hawajauchangamkia mtandao wenye Huduma nafuu na rafiki kabisa.

Hali kadhalika, NINAWAKUMBUSHA/ NINAWASHTUA IKIWEZEKANA FANYENI ROAMING KWENYE MINARA MINGINE KAMA VODA, AIRTEL NA HALOTEL ILI KUWAFIKIA WATANZANIA WENGI ZAIDI KWANI roaming kwenye minara ya TIGO pekee haijafaulu kufikia watu wengi zaidi ikiwa ni dhahiri yapo baadhi kama sio mengi maeneo ambayo mimara au hudumu ya mtandao mnaoshirikiana nao hazijafika.

Hata hivyo nawaasa kuwatumia vijana zaidi katika kutangaza Huduma zenu katika kila kona ya mchi.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Seen and solved.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom