TTCL ADSL SERVICE

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,440
Reaction score
4,771
Habari za asubuhi;

Wakuu ningependa kufahamu kwa ambao wamewahi tumia huduma ya Internet ya ADSL kutoka TTCL.Katika huduma hii TTCL wanakuletea Landline ofisini kisha wanakuunganishia na Data je utendaji wake ukoje in terms of speed etc?

Nafikiria ile package ya speed ya 1Mbp per sec

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…