TTCL ADSL Broadband Internet Vs 4G LTE Smile Internet

TTCL ADSL Broadband Internet Vs 4G LTE Smile Internet

hv wakuu kuna aliyewahi kutumiia VPN kama pd proxy kwenye broadband kama ttcl adsl tujulishane matokeo
 
Hyo TTCL naipataje? Kwangu nimepanga na huku hakuna yale manguzo yao
 
Ngoja niwaambie mimi ninaotumia ttcl broadband unlimited package longolongo mimi nina lipia laki moja na nusu unlimited package ya 2mbps lakini hamna chochote uongo tu napata 23kbps na hizi mvua zinazoendelea hupati hata net mimi mwezi huu natafuta isp mwingine unavumilia mpaka unachoka mimi sikutaka kulipia mwezi huu waka ni ambia tutatua tatizo lako lakini wapi mpaka leo sheshe linakuja lain iwe na matatizo mpaka waje kutengeneza yaan unabembeleza mpaka basi yaan kama huduma unapata bure
 
Nmesha idampu TTCL Broadband yangu.
Saivu nnatumia Voda tu.

Ila kuna jamaangu kanambia kuwa Cats-Nets wako vizur. Laki moja tu kwa mwezi.
 
Jamani mimi ni muhanga wa hili tatizo yani nmetumia modem zote kasoro smile ila ttcl ninayo home na kama ningepata mtu wa kunishauri kuhusu bundle nzuri ya kulipia ambayo naweza pata mpaka 8mb/s itakua vizuri zaidi
Natanguliza shukrani za dhati
Smile is the best so far,you can get up to 20mbps....what else do you want and the bundle prices are affordable if you want speed and reliability also cost saving Smile 4G is what you need
 
Smile is the best so far,you can get up to 20mbps....what else do you want and the bundle prices are affordable if you want speed and reliability also cost saving Smile 4G is what you need

20mbps is an underestimate, niliwahi post screenshot hapa ya over 30mbps from SMILE...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom