Kinana amewapokea wenyeviti sita wa Chadema wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa Chadema aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa Chadema tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Kinana atakuwa kamwaga pesa nyingi mno za walipa kodi.
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa Chadema wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa Chadema aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa Chadema tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Ahsante Mwalimu, this is what we need!! watu hawalioni hilo.Hata viongozi wote wa CDM wakihamia CCM mimi nitabaki maaana siungi mkono uzembe na ufisadi wa CCM
Subiri Chadema nao waje hapo Gairo ndo uje na hii ngonjera yako.Kinana amewapokea wenyeviti sita wa Chadema wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.