Walizani wananchi wa igunga ni maiti kama wa enzi za TANU.Mwenye macho haambiwi,ona.
Magamba washuhudia kimbunga cha Chadema.
Mafilili, Ritz, Nape na Rejao wachanganyikiwa.
Hawaamini wanachokishuhudia.
Mkapa, Rostamu na Kafumu, wapata kiwewe.
Sharif, Mtatiro na Mahona, matumbo moto.
Harusi na Uchaguzi, wapi na wapi !
Tumechoshwa na uongo wa CCM bana, wana Igunga tuwajaribu CDM walau wanaonyesha mabadiliko.