Tsunami ya Chadema - magamba yapigwa butwaaa huko Igunga, yabaki midomo wazi !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,037
22,728
Mwenye macho haambiwi,ona.
Magamba washuhudia kimbunga cha Chadema.
Mafilili, Ritz, Nape na Rejao wachanganyikiwa.
Hawaamini wanachokishuhudia.
Mkapa, Rostamu na Kafumu, wapata kiwewe.
Sharif, Mtatiro na Mahona, matumbo moto.
Harusi na Uchaguzi, wapi na wapi !



Maandamano2.JPG

 
CCM kiwewe kimewaingia.........wanamtumia mtu wao wa mwisho kabisa...........Mkapa, akisaidiwa na secretariat yote na wabunge kumi.
Aibu kwa chama kilicho na "mtaji" Kikwete.
 
Miaka 50 bila maendeleo imetosha! NAPE atuambie mfumo wa elimu ukoje tanzania kwa sasa?mara mtihani darasa la 4 mara form 2 mara upo bali hata mtoto akifeli asirudie mara changanya somo la biology na chemistry mara darasa la 7 wafanye mitihani mitano bla bla kwa kwenda mbele
 
Ninachokiona ni CCM na wapambe wao kufunika macho na pua sijui leo ndio wanaona Igunga inanuka uchafu wa CCM na hawataki kuamini kuwa wamechokwa na wananchi?

Yes, nguvu ya umma inafanya kazi na tusiwanyamazie CCM, ni wezi, walaghai ndio maana kwa mda wote hawa jamaa hawajawahi kuleta maendeleo ya msingi zaidi ya wao na familia zao ambazo kimsingi zinaneemeka kwa kutumia jasho la walalahoi wa Tanzania.

Wanaigunga, safari hii mkifanya makosa imekula kwenu na kwa watanzania wenzenu wana mageuzi.
 
Sasa hivi hata ukiwatafuta kwa tochi humu jukwaani akina Mwita na jeshi lake hawaonekani kabisaa! Wamekula posho ya Nape bila kutoa mafanikio yoyote kwa leo.
 
Mwenye macho haambiwi,ona.
Magamba washuhudia kimbunga cha Chadema.
Mafilili, Ritz, Nape na Rejao wachanganyikiwa.
Hawaamini wanachokishuhudia.
Mkapa, Rostamu na Kafumu, wapata kiwewe.
Sharif, Mtatiro na Mahona, matumbo moto.
Harusi na Uchaguzi, wapi na wapi !



Maandamano2.JPG

Walizani wananchi wa igunga ni maiti kama wa enzi za TANU.
 
Mnachezea koki ya maji nyie njoja iwaloweshe ndipo mtakapo jua kwamba ni#1.
 
Tumechoshwa na uongo wa CCM bana, wana Igunga tuwajaribu CDM walau wanaonyesha mabadiliko.

Rostam aloposema siasa za CCM ni uchwara alimaanisha siasa za Chadema ni super kwani hakusema siasa za Tanzania ni uchwara bali ni za CCM tu!!!!!!
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom