Tsunami ya Chadema - magamba yapigwa butwaaa huko Igunga, yabaki midomo wazi !


Maandamano2.JPG

Ni kama Sindima likipita uswahilini, watu kibao wanaunga tela kuburudika tu. Ndio maana sehemu kubwa ya halaiki hiyo ni CCM wako pembeni wana mdadi wa kujiunga na Oya Oya. Na katikati ya msafara wa hao mamba kuna kenge humo ambao hawatapiga kura kwa CHADEMA.

Sasa tufanye kampeni za kiufundi, yasije kuwa yale yale ya Businda.
Kabla ya kuanza kujipiga kifua, kuna polling yeyote inayoonyesha mpaka hivi sasa wapiga kura wengi wanam support mgombea wa CHADEMA?
 
Hivi CCM ni lini wanazindua kampen huko, manake kwa hivi nana watavuna aibu kubwa sana. Ngoja tungoje!!
 
Nimelipenda hilo tangazo kwenye bango linalosema "Nyoka ni Nyoka! Hawezi kuwa Chura!
 
Hivi CCM ni lini wanazindua kampen huko, manake kwa hivi nana watavuna aibu kubwa sana. Ngoja tungoje!!
Watasomba watu zenji na bagamoyo kwa mafuso wapelekwe igunga, bahti yao mbaya wameiua TRC-reli ya kati wangeitumia kupeleka washingiliaji wa vitenge na kofia
 
Naona kuna magamba pembeni waushangaa pepoooooz pawaaaaaaaa.
kama wanawaza kujoin the pipoooz au waendelee kuvaa kofia na vitenge vya magamba



Mkuu yaani hata hao waliovaa njano na kijani ni Chadema ni njaa tu ndo zinawasumbua kuwafanya wasiwe na msimamo,ila wanasahau furaha ya mwezi mmoja kuwa matatizo ya Miaka minne. Nahisi wanafikiri uhamuzi wao wa kukulupuka.
 
Hiyo nyomi ni salamu kwa Rostam aliyeandaa watu wa kulia wakati anaachia ngazi. Watz wamechoka. It is too late kws mafisadi kuendelea kutamalaki
 
Mkuu yaani hata hao waliovaa njano na kijani ni Chadema ni njaa tu ndo zinawasumbua kuwafanya wasiwe na msimamo,ila wanasahau furaha ya mwezi mmoja kuwa matatizo ya Miaka minne. .
Wana bahati ya mtende kuvaa kofia na fulana mara mbili kwa kipindi cha miaka mitano thanks to Rostam boycot.
 
what a blessing to see all this people waking up and understanding their situation whether chadema wins or not you have taught ccm a big big unforgettable lesson, big up sana to all chadema supporters.
 
Mwenye macho haambiwi,ona.
Magamba washuhudia kimbunga cha Chadema.
Mafilili, Ritz, Nape na Rejao wachanganyikiwa.
Hawaamini wanachokishuhudia.
Mkapa, Rostamu na Kafumu, wapata kiwewe.
Sharif, Mtatiro na Mahona, matumbo moto.
Harusi na Uchaguzi, wapi na wapi !



Maandamano2.JPG

Hao CCM wanaoonekana wanatia hata huruma maskini.
 
Sisi yetu macho.nyie rukeni rukeni bt at th end of th day ccm mjengoni.hilo kamasi tu pua lina ukubwa gani?cheza na saikolojia achen mbwembwe.
 
Walie tu, nani kasema wanatabora hawapendi maendeleo? kukumbatia ccm ni kudhoovisha maendeleo yetu! Kwaheri ccm Igunga.
 
kinacho nifurahisha hapo nikuona kuna bendera za CCM halafu CHADEMA wanapita tu kama hawazioni pasi kufanya vurugu. Hizi ndizo siasa tunazo penda " AMEN "
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom