Tshs 5bn zaliwa magereza ni za kilimo kwanza!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,514
11,852
Wana jf tufanyaje?hawa waliopewa madaraka kila kukicha wanatumaliza?imagine 5bn ni nyingi sana warejeshe. Zilikua za miradi 4 ya umwagiliaji.MASHA si inatakiwa awajibishwe?source daily news 26nov 2010
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom