Tshirt za Kali za lowassa , CCM zinauzwa

Tshirt za Kali za lowassa , CCM zinauzwa

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,064
Haya wale mnaotaka Tshirt kali za Lowassa mambo yameiva... ImageUploadedByJamiiForums1441536378.094898.jpg

Napokea oda kubwa na ndogo... Karibuni
 
Kwenye Biashara, Unaangalia Force of Demand and Supply ; Mwaka Huu CCM Haiuziki Ni Bidhaa Chakavu.
 
hope unamaanisha nin? please tumia lugha maarufu na inayoeleweka na wapiga kura husika kama lengo ni kumtambulisha mhusika.
 
hope unamaanisha nin? please tumia lugha maarufu na inayoeleweka na wapiga kura husika kama lengo ni kumtambulisha mhusika.

Hope¬ Tumaini

Lowassa¬ safari ya matumaini
 
Umetega vizuri mjasiriamali, ungetengeneza za magufuli ungegawa bure!!
 
Back
Top Bottom