tshirt printing equipment zinauzwa... ( full workshop)

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,502
Reaction score
36,163
habari wadau...

nauza vifaa vya kuprint tshirt used kwa atakayehitahiji..

1. screen printing machine milioni 4. vastex 4 color x 4 station na flash dryer yake.. bado bora kabisa... uje na fundi wako kukagua..

2. heat press machine used laki 6

3. heat press machine mpya laki 9.

picha za mashine zinapatikana humu kwenye page ya biashara

https://www.instagram.com/tshirt_garage_mabibo_hostel/

sababu ya kuuza na upgrade workshop kwa kufunga mashine kubwa zaidi..

mashine ya screen imefika ya station 8... na heat press zimefika size kubwa zaidi
 
Mkuu freshman hiyo heat press machine ya laki 6 ndo uliitangaza kipindi fulani hapa jf??
 
Japo uzi wa kale naomba kuuliza,
mkuu hizi film wapi naweza kupata na bei zake tafadhali kama unajua.

 
Scree printing inafanya kazi gani naweza wekeza humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…