DTF Technology mpya hiyo.No powder dtf hiyo sijaijua kaka.. dtf hatari sana ila tatizo spares na white
Nimekupata mkuu, na kama nikiwa na heatpress, laptop na printer hizi za epson zinazouzwa 200k to 1m haitafaa?? I mean badala ya kwenda kwa watu wenye mashine kama hizo.Anaeanza akiwa na heat press tu anaweza fanya kazi yeyote.. maana anatumia mbinu kama za mwanachuo hasiye na laptop ama printer.. madesa anaenda yatolea copy stationary. Na computer anaweza tumia za internet cafe.
Ukiwa na laptop na heat press hapo umejisaidia sana. Maana hutakwama kazi yoyote. Maana laptop unatumia ku design kazi.. then unaenda kwa watu wenye mashine kama hizi unaprint logo zako.. then hizo logo unarudi home kwenda kuzihamishia kwenye tshirts plain kwa kutumia heat press
Nimekupata mkuu, na kama nikiwa na heatpress, laptop na printer hizi za epson zinazouzwa 200k to 1m haitafaa?? I mean badala ya kwenda kwa watu wenye mashine kama hizo.
sijakuelewa mkuu sublimatiion ink/ dye ink ni wino wa kawaida kama wino hizi zingine za printa za kawaida au zikoje zenyewe?inkjet ya kawaida moja unaweka kwa ajili ya sublimation( sublimation ink) nyingine kawaida kwaajili ya transfer paper (dye ink)
-Kwa inkjet kuna sublimation, dye na pigment ink. Ingawa siku hizi hadi wa solvent tunatumia lakini kuna issue chache za kudeal nazo unapo tumia solvent ink.sijakuelewa mkuu sublimatiion ink/ dye ink ni wino wa kawaida kama wino hizi zingine za printa za kawaida au zikoje zenyewe?
asante sana kunielezea kwa mapana mmaana nilikuwa sifahamu mm natengeneza batik na wino wa batik dye ink sasa imenichanganya kidogo asante kunifafanulia-Kwa inkjet kuna sublimation, dye na pigment ink. Ingawa siku hizi hadi wa solvent tunatumia lakini kuna issue chache za kudeal nazo unapo tumia solvent ink.
-Kwa large format kuna sublimation na solvent ink.
So sublimation ink ni wino unaojitegemea ambao ni special kwaajili ya kutransfer image to items kama t-shirt, vikombe, chupa, picha za frame n.k.
Tupo pamoja.asante sana kunielezea kwa mapana mmaana nilikuwa sifahamu mm natengeneza batik na wino wa batik dye ink sasa imenichanganya kidogo asante kunifafanulia
ukiwa na printer za kawaida kama za hp, laserjet au epson huwezi kutumia kwenye sublimation paper?Tupo pamoja.
Hii sublimation ndio inatumika hata kwenye viwanda vya textile.
Unaprint artwork kwenye sublimation paper kwa kutumia sublimation printer then una transfer kwa heatpress au electric iron/pasi.
Lazima printer uibadilishe itumie sublimation ink au toner then unatumia pamoja na hizo sublimation paperukiwa na printer za kawaida kama za hp, laserjet au epson huwezi kutumia kwenye sublimation paper?
ok na je printa zake zinapatikana hapa au mpk uagize nje na zinaitwaje?Lazima printer uibadilishe itumie sublimation ink au toner then unatumia pamoja na hizo sublimation paper
Epson hizi hizi ikiwa mpya hujaweka wino, nunua ule wa sublimation ndio utumie kisha itakuwa tayari kwa matumizi. Hapo itakubidi ununue sublimation transfer paper ambazo zipo za dark na light.ok na je printa zake zinapatikana hapa au mpk uagize nje na zinaitwaje?
Kama ni used imetumika na wino mwingine inatakiwa ink tank system (head hadi nozzle zile) zisafishwe then ujaze wino wa sublimation.Epson hizi hizi ikiwa mpya hujaweka wino, nunua ule wa sublimation ndio utumie kisha itakuwa tayari kwa matumizi. Hapo itakubidi ununue sublimation transfer paper ambazo zipo za dark na light.
Kisha unaweza print. Unapo print lazima image uprint in mirrored mode.
Then uta transfer image kwa heatpress sehemu unayotaka uiweke kama ni t-shirt, au mugs nk
ok na je printa zake zinapatikana hapa au mpk uagize nje na zinaitwaje?
Uko wapi bosi? Weka namba ya simu au itupie huko pm. Hela iko kwenye mfuk
Nimeishatuma huko pmUko wapi bosi? Weka namba ya simu au itupie huko pm. Hela iko kwenye mfuko wa shati.
Mkuu kuna transfer paper za sh 130,000 Hadi 160,000 ,Sasa mhusika faida atapata vipi?, Maana t-shirt wanaprint kwa bei isiyozidi 5000,na karatasi zimo 100,bado wino,1. Blank tshirt bei ina vary kutokana na kitu kinaitwa gsm pia material yaliyotumika ambapo polister ni cheap kuliko 100% cotton, gsm ( ni kama uzito wa tshirt kiswahili swahili) bei inarange kuanzia 3000 per pcs mpaka 10,000 per pcs kwa round tshirts.. na polo pia kuanzia 4000 per pcs mpaka 15,000 per pcs
2. Ukinunua hii mashine unahitaji printer ya kuprintia transfer paper.. inkjet ama laser jet ...zinaanzia laki 3 mpaka milioni kutokana na brand na ukubwa wa printer, pia unahitaji computer yeyote ya kutengenezea graphic ya unachoprint
3. Heat transfer paper kwa bongo bei zina vary kutokana na brand.. transfer paper rim yake bei inacheza kuanzia 130,000 mpala 160,000 kwa rim. Kwenye rim kunakiwa na 100 pcs
Mkuu Namba na herufi zinauzwa wapi na kwa bei gani?sylicone paper ni non stick paper kusaidia wino usibaki kwenye heat press ama tshirt isiungue na joto la heat press, ni karatasi isiyoungua..
karatasi zinazofanya kazi kama hizi zinauzwa super market kwa jina la baking paper.. karatasi za kuokea mikate, so hata ukinunue baking paper itafanya kazi..
ama unaweza agiza aliexpress special ya heat press haifiki hata elfu 30 mpaka ikufikie mkononi kila kitu.
kuhusu namba na majina ni unanunue herufi na namba za vinly kwa bei ya jumla.. kisha unakuwa unaprint tu.. zile namba huwezi kuzitengeneza wewe mwenyewe.. unless uwe na mtaji mkubwa sana ununue vinly plotter machine.. ila watu wote wanaoprint Tanzania namba na herufi uwa wanazinunua separate kwa bei ya jumla
Bei gani hii mashine mkuu?Mtambo mpya wa kuprint logo za tshirt kwa urahis zaidi, herufi na namba za jezi pia umeingia.. kuprint tshirts haitumii jasho kubwa any more