Thanks,najaribu kuelewa. Kiufupi ni kwamba niliagiza press heat machine,nikaletewa pamoja na Epson printer na hizo transfer paper ambazo Ni light pamoja na dark,kwa bahati mbaya sijaanza kutumia kutokana na ratiba yangu ilivyokaa japo kulingana na tutorials mbalimbali nilizopitia nimeona kama kuna papers zaidi ya hizi natakiwa kutumia hasa kama nataka kuprint vitu kama mugs/plate. Pia nimeona Kuna sylicon paper inatumika japo haikuwa included kwenye hizi karatasi walizoleta,je,naweza kuipata separately na inauzwaje/wapi? Na hata nikitaka kuprint mfano namba/jina kwenye jezi natakiwa kufanyaje?
Ahsante sana kwa maelezo haya. wakati nafikiri kutafuta hiyo vinly plotter machine pamoja na kuagiza hizo sylicone paper nitatafuta hiyo baking paper. Hizi herufi na namba zinapatikana wapi kwa hapa Dar?sylicone paper ni non stick paper kusaidia wino usibaki kwenye heat press ama tshirt isiungue na joto la heat press, ni karatasi isiyoungua..
karatasi zinazofanya kazi kama hizi zinauzwa super market kwa jina la baking paper.. karatasi za kuokea mikate, so hata ukinunue baking paper itafanya kazi..
ama unaweza agiza aliexpress special ya heat press haifiki hata elfu 30 mpaka ikufikie mkononi kila kitu.
kuhusu namba na majina ni unanunue herufi na namba za vinly kwa bei ya jumla.. kisha unakuwa unaprint tu.. zile namba huwezi kuzitengeneza wewe mwenyewe.. unless uwe na mtaji mkubwa sana ununue vinly plotter machine.. ila watu wote wanaoprint Tanzania namba na herufi uwa wanazinunua separate kwa bei ya jumla
Ahsante sana kwa maelezo haya. wakati nafikiri kutafuta hiyo vinly plotter machine pamoja na kuagiza hizo sylicone paper nitatafuta hiyo baking paper. Hizi herufi na namba zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
Shukran sana.kariakoo msimbazi karibu na jengo la simba..
Longtime niko na ham xan cku moja nifanye hiyo business but kw bahati mbaya i know nothing kuhuxu printing1. Blank tshirt bei ina vary kutokana na kitu kinaitwa gsm pia material yaliyotumika ambapo polister ni cheap kuliko 100% cotton, gsm ( ni kama uzito wa tshirt kiswahili swahili) bei inarange kuanzia 3000 per pcs mpaka 10,000 per pcs kwa round tshirts.. na polo pia kuanzia 4000 per pcs mpaka 15,000 per pcs
2. Ukinunua hii mashine unahitaji printer ya kuprintia transfer paper.. inkjet ama laser jet ...zinaanzia laki 3 mpaka milioni kutokana na brand na ukubwa wa printer, pia unahitaji computer yeyote ya kutengenezea graphic ya unachoprint
3. Heat transfer paper kwa bongo bei zina vary kutokana na brand.. transfer paper rim yake bei inacheza kuanzia 130,000 mpala 160,000 kwa rim. Kwenye rim kunakiwa na 10
V
Longtime niko na ham xan cku moja nifanye hiyo business but kw bahati mbaya i know nothing kuhuxu printing
Ombi pia swali
Naweza pata nafasi ya kuelekezwa ikiwa ntaja kwa office yako?
Vipi kuhusu gharama ya train inahitaj shingapOfisini ni kwa ajili ya oda tu kama kampuni zingine. Ukihitaji training jisajili veta... tutakutana darasani na workshop veta
Vipi kuhusu gharama ya train inahitaj shingap
Shukran mkuuVeta wanachaji 250,000 na inachukua mwezi mmoja..
Shukran mkuu
vipi kuprint picha kwa t shirt ni bei gn
Shukran mkuu
vipi kuprint picha kwa t shirt inacost shngp
Let me tak yuh number ntakuchekKwa wastani ni tsh 3000 per 1 pcs.. pia inategemea na idadi ya tshirts na ukubwa wa picha.. bei inaweza shuka ama kupanda kwa hizo factor za idadi na uku
Shukran mkuu
vipi kuprint picha kwa t shirt inacost shngp
Unauzwa bei gani mkuu?Mtambo mpya wa kuprint logo za tshirt kwa urahis zaidi, herufi na namba za jezi pia umeingia.. kuprint tshirts haitumii jasho kubwa any more
Unauzwa bei gani mkuu?
Duuh 15!Mtambo tumeagiza china funsun bei imefika milion 15 mpaka kodi ya bandarini
Ni kama huo hapo unaona mchina anaprint kama karatasi za nailon film. Kisha anakata na mkasi.
Huo ndio unatumika kutengeneza hatua ya awali ya logo za tshirts
Duuh 15!
Kwa anaye anza unashauri awe na nini at the minimum level? Na mtaji unaweza chezea ngapi ili mtu aanze?
NB: Tofauti na screen print.
Mambo ya DTF hayo, ila waambie powder ile ni sumu au na wewe hujui?[emoji1787][emoji1787]Mtambo tumeagiza china funsun bei imefika milion 15 mpaka kodi ya bandarini
Ni kama huo hapo unaona mchina anaprint kama karatasi za nailon film. Kisha anakata na mkasi.
Huo ndio unatumika kutengeneza hatua ya awali ya logo za tshirts
Mambo ya DTF hayo, ila waambie powder ile ni sumu au na wewe hujui?[emoji1787][emoji1787]
Saa hii tupo na McCloud USA technology Powderless(no powder) DTF.