Ofcourse haijazingatia sana,,, this government is tooo corrupt, wanachuo washukuru Mungu hata kwa hilo walilopewa,,, secta nyingi nyingine bado hali ni mbaya sana, soo japokua hiyo pesa haitoshi, wanachuo wajitahidi tu kwenda nayo, maana serikali imeshawasaliti wananchi wake zamani sanaJana bajeti ya wizara ya elimu imewasilishwa mjengon! Wizara imeongeza kias cha sh. 2500/- kwa siku, kama pesa ya kujikimu na sasa ujumla wa pesa hyo kuwa Tsh.7500/- per day! Je serikal imezingatia uhalisia kwa wale wanaoish off campus? Au ndo ulegelege?