Tsh. 7500/- KWA WANAFUNZI ELIMU YA JUU, NI SAWA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tsh. 7500/- KWA WANAFUNZI ELIMU YA JUU, NI SAWA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chavuma, Jul 20, 2011.

 1. C

  Chavuma Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jana bajeti ya wizara ya elimu imewasilishwa mjengon! Wizara imeongeza kias cha sh. 2500/- kwa siku, kama pesa ya kujikimu na sasa ujumla wa pesa hyo kuwa Tsh.7500/- per day! Je serikal imezingatia uhalisia kwa wale wanaoish off campus? Au ndo ulegelege?
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Ofcourse haijazingatia sana,,, this government is tooo corrupt, wanachuo washukuru Mungu hata kwa hilo walilopewa,,, secta nyingi nyingine bado hali ni mbaya sana, soo japokua hiyo pesa haitoshi, wanachuo wajitahidi tu kwenda nayo, maana serikali imeshawasaliti wananchi wake zamani sana
   
Loading...