TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
MKOA | DUKA | NAMBARI YA SIMU |
Dar es Salaam | Mlimani City Smart Hub, China plaza smart hub, Hyatt, Mobimart, Mashreq, Inorbit, Mercury, Raju n.k | 654843687 654304803 |
Mwanza | Jambo Mwanza Shop, Gift Shop 1, J.B.L Mobile, Katoro shop, Bukoba shop | 719083413 753144128 |
Arusha | CCM Babadi, Bus Terminal Arusha, | 715092100 |
Dodoma | Pablo shop | 764161011 |
Moshi | Totolee | 659392893 |
Mbeya | BM shop, TECNO Mbeya shop | 758442496 |
Tsh 430,000/= katika maduka yetu ya smarthubCamon 15 Tzs ngapi!?
😂😂😂 We fala kweli,yani umeona uwachane hapahapa kwenye uzi wao sio?Hivi tecno nazo ni simu??
Kati ya cm ambazo nazikubali sana na nazielewa basi namba moja ni tecno[emoji23][emoji23][emoji23] We fala kweli,yani umeona uwachane hapahapa kwenye uzi wao sio?
Ni makalio yako mkuuHivi tecno nazo ni simu??
Watumiaji wa tecno utawajua tu😂.Ni makalio yako mkuu
Tatizo camera na themes zao me ndo huwa sizifurahii mkuu,Ila ukiachana na swala la kukaririshwa,tecno ni simu nzuri.Kati ya cm ambazo nazikubali sana na nazielewa basi namba moja ni tecno
Camera mkuu kwa tecno pia siku hizi wapo juu, wameboresha sna, chaji ndio usiseme ukichaji ikajaa vzr unasahauTatizo camera na themes zao me ndo huwa sizifurahii mkuu,Ila ukiachana na swala la kukaririshwa,tecno ni simu nzuri.
Ndiyo boss ikiwa tu watu wanatumia tecno Mimi Ni Nani hata nijidai?Watumiaji wa tecno utawajua tu[emoji23].
Anyway mwisho wa siku kila mmoja anakuwa na flavour yake.
😅😅Ndio aina ya watumiaji watecno walivyo huwezikuta aliestaarabika wengi majibu yao ya hovyo kama vimulimuli vyaoNi makalio yako mkuu
Jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao maana vinawasaidia wao na siyo wewe!Ndiyo boss ikiwa tu watu wanatumia tecno Mimi Ni Nani hata nijidai?
Ukijichunguza vizuri mkuu utakuta wewe ni masikini wa mali na akili, kwa akili yako unajiona Bill Gates kwa kumiliki apple toleo la 2011[emoji3][emoji3]
Jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao maana vinawasaidia wao na siyo wewe!
Mkuu Kuna watu humu utakuta anajitutumua kuwa ana vitu vizuri ( wao wanasema original [emoji3][emoji3]) huku akiwaona wenzake wasio navyo Kama masikini Sana halafu yeye ndiye Mo.Jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao maana vinawasaidia wao na siyo wewe!
Hii aya ina ujumbe mzito sana naimani dogo kakuelewa.
JF hapa kila mtu tajiri, ila wengi wao ukikutana nao utawahurumia maana ni tofauti na wanavyojinasibu humu.Mkuu Kuna watu humu utakuta anajitutumua kuwa ana vitu vizuri ( wao wanasema original [emoji3][emoji3]) huku akiwaona wenzake wasio navyo Kama masikini Sana halafu yeye ndiye Mo.
Huyohuyo katika maisha ya kawaida Hana ajira, Hana hata kitanda yaani anakula na kulala kwao[emoji1787]
Vyovyote vile bibie, ukidhani wanaomiliki simu tofauti na tecno ndiyo wastarabu utakuwa huna shule kichwani. Ni sawa na kusema matajiri wote ni wema na Ni wachaMungu huki ukidai masikini wote Ni watenda dhambi na hawajastaarabika.[emoji28][emoji28]Ndio aina ya watumiaji watecno walivyo huwezikuta aliestaarabika wengi majibu yao ya hovyo kama vimulimuli vyao
Hakuna sehemu yoyote ile niliyokudharau wewe pamoja na tecno yako unayomiliki,kilichonifurahisha mimi ni jinsi ambavyo umemjia juu mkuu rubii baada ya kuhoji swala la tecno kuwa simu. Na hili tatizo la masikini kuhusu kudharauliwa kila muda sio lako tu, hivyo siwezi kulaumu.Ndiyo boss ikiwa tu watu wanatumia tecno Mimi Ni Nani hata nijidai?
Ukijichunguza vizuri mkuu utakuta wewe ni masikini wa mali na akili, kwa akili yako unajiona Bill Gates kwa kumiliki apple toleo la 2011[emoji3][emoji3]
Jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao maana vinawasaidia wao na siyo wewe!