Tsh 100,000 natafuta nokia x2-01

Tsh 100,000 natafuta nokia x2-01

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Yoyote mwenye hiyo simu anicheki kwa namba hii 0755065418,nipo mwanza
 
We kama huna kausha,mbona kitaa simu used zipo na c mchina kwa bei poa,unashangaa x2 used kuuzwa kwa kilo moja?wakati dukani lak na 40,acha ushamba wewe?wenye nazo watanitafuta tu
 
Used kutokana na uwezo wangu,kwani wangapi wananunua vi2 used pengine hata mke uliyemuoa ni used acha dharau mkubwa sio ishu hyo
 
Mi sio dogo sema ni mtz haris ajipange huyo joh
 
Mh sio ww ulietoa no nikakutext kwenye simu yako uko kimya??leo umekuja na jipya tena,,,simu ipo itakufata ulipo ongeza japo 30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom