Tsh. 1.4 billion spent on rehabilitating the Mtwara RC’s

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,362
1,131
by HakiElimu on Tuesday, 01 November 2011 at 10:26 via Facebook Notes (https://www.facebook.com/hakielimu)

Did you know that in Mtwara Region, Tsh. 395 million was spent on rehabilitation of the RC's house in 2008/09, another Tsh. 300 million was spent on this same rehabilitation in 2009/10, Tsh. 232.9 million was again approved by Parliament in the 2010/11 budget for this rehabilitation, and then Mtwara Region again asked Parliament for Tsh. 468.45 million for rehabilitating the same RC's house in the 2011/12 budget (URT, 2010i, 2011e). That's almost Tsh. 1.4 billion spent on rehabilitating the Mtwara RC's house just over the last four years! Don't you wonder what kind of house this is?

Since 2008, regions have budgeted a total of Tsh. 6 billion in local revenue for the development of primary education while allocating Tsh. 15 billion in taxpayers' money to the construction or rehabilitation of RC's and DC's homes.

With budget allocations such as these, can the government say it is working to improve the quality of education in Tanzania?

(Data from Guidelines for the preparation of medium term plan and budget framework for 2010/11 - 2012/13: Part I
& II and Volume IV: Public expenditure estimates development votes (Part A): Ministerial and regional development programmes: For the year from 1st July, 2010 to 30th June, 2011: As submitted to the National Assembly)
 
"Since 2008, regions have budgeted a total of Tsh. 6 billion in local revenue for the development of primary education"

Kwa maana hiyo ukarabati wa jengo la RC utakuwa umegharimu almost 25% (1.4bn) ya budget yote ya maendeleo ya elimu ya msingi! defies logic!
 
Nadhani ni wakati sasa wa kukubaliana na Cameroun kuhusiana na ushoga ili tuendelee kuponda mali kufa kwaja
 
Kweli ndiyo maada Waziri Mkuu wa Uingereza "ametutusi"!

Nadhani ni wakati sasa wa kukubaliana na Cameroun kuhusiana na ushoga ili tuendelee kuponda mali kufa kwaja

Obuntu & Njowepo Tamko alililotutamkia Cameroun,

Lina maana moja kubwa kuwa tuwe tayari Kuusaliti UTU na UBINAADAMU wetu! Maana hivyo anavyotuusia kuwa ili kupata misaada Kiafrika Si UTU kabisa wala haiendani na UBINAADAMU wetu! Kwa hilo tunahitaji moyo Mkubwa wa kupambana na Cameroun kumhakikishai kuwa UTU na UBINADAMU wetu si vitu vya kuchezea Katu!

Sasa nahoji!! Huyo au hao waliochezea hizo fedha hapo Mtwara walisukumwa na UTU na UBINADAMU Upi?
 
Lol ndio maana yake kumbe!!!???? nilikua siielewi hiyo mbiu kabsaaa

Mama D,

Kweli miaka yote hiyo mfululizo? Hivi hapo mtu kamili na akili unajitetea je? Kusema ni tatizo la KIAKILI peke yake naona kama haitoshelezi .. kuendesha mahesabu hayo na mpangilio wote huo shule lazima uende.. AKILI ni timamu ... nafikiri kuna tatizo lingine..!!
 
Arrrgggg haya majukwaa huwa siyatembelei maana utatoka hapa unaumwa kichwa bure
bora niende zangu kule MMU
 
Hizi hadithi mwisho wake lini na kwa namna gani???

Nafikiri Akili na Kisomo peke yake haviwezi ZIGO hili .. Wote wanaoshiriki pilika pilika hizi Akili zao zimekomaa na shule, vyuo na semina mfululizo wanahudhururia... Lakini matokeo .. ndio hayo .. !!
 
Arrrgggg haya majukwaa huwa siyatembelei maana utatoka hapa unaumwa kichwa bure
bora niende zangu kule MMU

Rocky .. Me too this is too much .. am on my way ..andaa makao!! Maana Niulize ni kweli kinachoonyeshwa kwa mienendo kama hii hapa .. kina simamia true Identy ya Mwanadamu? au ni Unyama zaidi?
 
"Since 2008, regions have budgeted a total of Tsh. 6 billion in local revenue for the development of primary education"

Kwa maana hiyo ukarabati wa jengo la RC utakuwa umegharimu almost 25% (1.4bn) ya budget yote ya maendeleo ya elimu ya msingi! defies logic!

Yes Mkuu ,

About 25% imekwenda kwenye jumba moja tu ... huko shuleni usiombee .. Ndio maana tunalazimika kusema na kuulizia hata kwa mtizamo wa kawaida .. Hakuna hata kusutwa na dhamira? Hakuna hata kuhurumia hao watoto ...wanapokaa chini, hao waalimu wasio kuwa na nyumba nk.

Tuhoji sasa .. hakuna kiogozi aliye na UTU na UBINADAMU .. hata wa kuanzia na kuja na utatuzi?

Kama hakuna kiogozi wa Tanzania mwenye UWEZO huo ... Utsemaje shhhhhhhhhh Wacha .. kwa Cameroun? That means kama viongozi Kabla ya kukimbilia kumjibu waziri mkuu wa Uingereza .. TUJIHOJI NA KUJITAFITI.

KIONGOZI GANI LEO ANAJEURI YA KUSEMA YEYE ANA UTU NA UBINADAMU ...kwenye kusimamia Ustawi wa jamii na Utu wa Taifa?
 
Rocky .. Me too this is too much .. am on my way ..andaa makao!! Maana Ni kweli kinachoonyeshwa hapa .. true Identy ya Mwanadamu?

mkuu unasoma TCRA wametumia 2.2 billion kusomesha watu watatu nje
hapa 1.4billion kufanyia matengenezo nyumba ya mkuu wa mkoa
Mara billion kadhaa zinatengwa kila mwaka kukarabati ikulu
mara halmashauri fulani imekula hela na mradi hewa
hayo si maumivu ya kichwa tuu hayo
ngoja niende zangu MMU nikazungumzie kupendwa na kupenda
 
Tumeongelea sana swala la accountability .. LAKINI ni kweli kabisa umebakia kama wimbo zeze au zumari ...? Kitu kama hicho . vibaya zaidi ni kuwa hali hapungui wala hakuna muonekano wa kupungua ... Ndio maana tunahoji Kusoma na kukomaza AKILI peke yake inaweza isiwe ni Tija. Labda Kuwe na kuelimika na Kukoza UTU Na UBINADAMU wa wasomi wetu!! Nimabie wasomi watatu tu .. Fedha zote hizo ... na hapo hatuna hakika kma wamejengwa kuwa na Huruma na Ubinadaamu kwa Wale waliwachangia wao kuelimika kwa kiasi hicho!!
 
Mkuu hayo ni yale ambayo tumeweza kuyasikia na kuyasoma
Ni mangapi ambayo yako chini ya carpet hatuyasikii
Mikataba mingapi ambayo imesainiwa na watu wamekula ten percent zao bila hata kujua
Shangaa IPTL kuna mtu analipwa bilions of money na serikali kwa ajili ya kununua mafuta ya mitambo na hapo hapo IPTL inaiuzia Serikali hiyo hiyo iliyotoa pesa za kununulia mafuta umeme kama sio usaniii ni kitu gani
Yaani UTU na UBINADAMu haupo na watu wanajijali zaidi wao na familia zao
 
Jangwani square inaandaliwa na wajukuu zetu kwa mitindo kama hii! Mungu apishie mbali!
 
Obuntu & Njowepo Tamko alililotutamkia Cameroun,

Lina maana moja kubwa kuwa tuwe tayari Kuusaliti UTU na UBINAADAMU wetu! Maana hivyo anavyotuusia kuwa ili kupata misaada Kiafrika Si UTU kabisa wala haiendani na UBINAADAMU wetu! Kwa hilo tunahitaji moyo Mkubwa wa kupambana na Cameroun kumhakikishai kuwa UTU na UBINADAMU wetu si vitu vya kuchezea Katu!

Sasa nahoji!! Huyo au hao waliochezea hizo fedha hapo Mtwara walisukumwa na UTU na UBINADAMU Upi?

Hawa jamaa hawana UTU wala UBINADAMU kwahiyo kwavile hawana utu wanaweza kuishi huko kwa Cameroon wanakowatetea mashoga!
 
Back
Top Bottom