nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Mbu umenena sawa kwa kuongezea nyumba kubwa ni kuwa mnapoanza mapenzi wote huwa mna ile kuaminiana kuwa mwenzako anakupenda na yeye ndie kubwa kuliko wote! Unapopata mpenzi mpya binadamu tunaamini kuwa ni mbora kuliko a/walotangulia.............so trust inajijenga outomatically.......But anapokukosea kwa kosa ambalo pengine ulikwishawahitendewa zamani au hata kama ni kosa jipya (Lakini linaumiza) unaanza kuidoubt ile imani yako ya kuwa "huyu ni tofauti na wa/yule" hapo tunasema trust ime'shake' au kupotea.
Ili kuijenga upya inakubidi kwanza uane na kusamehe....kwa kuamini kuwa kosa lililofanyka ilikuwa bahati mbaya, au kulikuwa kuna explanation nyingine nje ya uwezo wa mkosaji. Ukisha samehe then kwa kuangalia mwenendo (marudio ya kosa hilo) kwa mwenzako unaanza kuijenga tena ile trust kuwa mwenzangu amebadilika so now nawezamtrust tena.
Ninajiuliza ......how do you rebuild the trust which has been destroyed because of "cheating" and je wanawake wanaokuta mume amecheat wakasamehe, do they trust them ever again? if not how do they live in a 'non-trust' marriage life?
Wanaume: Why its hard for you to forgive mwanamke aliyecheat (kabla ya kuuliza trust)?
Mbu hamna mtu anayekosa trust kwa mpenzi wake kwa makosa madogo madogo. Kwa experience yangu chanzo kikubwa cha kuondoa trust ni cheating ambayo si ya kuhisi ila yenye evidence. Sasa kama ulishacheat afu nikakupigia simu umezima sijuhi imeishiwa charger, well naweza nikaonyesha kukubali maelezo utakayonipa lakini deep inside naanza ku relate na cheating incidence. That is out of my control. I can forgive yes but forgetting is difficult no matter how hard I try.
Sijawahi kusosa trust kwa mtu kwa sababu nyingine yoyote zaidi ya uzinzi.
...trust ya watoto, mali, pesa, ukweli nk? Au labda mimi naitafsiri trust (imani) kimakosa?Mbu hamna mtu anayekosa trust kwa mpenzi wake kwa makosa madogo madogo. Kwa experience yangu chanzo kikubwa cha kuondoa trust ni cheating ambayo si ya kuhisi ila yenye evidence. Sasa kama ulishacheat afu nikakupigia simu umezima sijuhi imeishiwa charger, well naweza nikaonyesha kukubali maelezo utakayonipa lakini deep inside naanza ku relate na cheating incidence. That is out of my control. I can forgive yes but forgetting is difficult no matter how hard I try.Sijawahi kusosa trust kwa mtu kwa sababu nyingine yoyote zaidi ya uzinzi.
Hahahah nyumba kubwa I love the way you challenge Mbu (hebu mwulize bwana ah atujuze maana naona hilo penzi lake jipya karibu litamfanya afungue kituo cha ushahuri nasaha kwa wanandoa)
Ila hebu kwanza...........umesema makosa madogo madogo zaidi ya kuzini...nikuulize mwenzio ataharibu 'trust' yako kwake iwapo UTAMFUMANIA ANAZINI (as in kitendo cha kuzini kabisa) au hata mfano alioutoa CPU wa jinsi alivyosave some contacts in his mobile?
Kwa sababu ninavyoamini mie ni kuwa sometimes anaweza awe smart usimkamate live but ana kila dalili ya kucheat mf. Anarudi usiku pasipo sababu wala kueleweka anakotoka, anarudi na viparcel vya zawadi ukiuliza siku mbili mfuliulizo unapata majibu tofauti, simu inazimwa kila mkiwa pamoja, anachelewa kurudi au simu ikiita anapata kigugumizi cha ukubwa......ili mradi tu vijimambo...sasa hivi si vitu vidogo ambavyo vinaashiria 'cheating'?
Sasa kukiwa na hizi tunapaswa kupuuza na kuendellea ku'trust' hadi tumkamate akicheat??
Mi nae ka prosecutor!!
...trust ya watoto, mali, pesa, ukweli nk? Au labda mimi naitafsiri trust (imani) kimakosa?
Hata ukiwa na sura ya hatia lakini moyoni umebeba hekima na huruma na innocents, hiyo tu inatosha kwa mtu wko wa karibuHalafu watu wengine
tuna sura za hatia
even when we are innocents
Nyumba kubwa, kukosa trust kwa makosa madogomadogo ndio huanza then anakuja kuzini badae sasa, mie huwa nakosa trust kwenye simu, akianza kuwa so protective na simu yake hapo ndio hanza kuona hakuna trust tena, coz kosa kubwa huanzia kwenye madogomadogo mengi ukiyajumlisha mwisho wake ndio anacheat kabisa, kwa hiyo ni bora uanze kustuka kuanzia vikosa vidogo kuliko kusubiria moja kubwa la kutembea njeMbu hamna mtu anayekosa trust kwa mpenzi wake kwa makosa madogo madogo. Kwa experience yangu chanzo kikubwa cha kuondoa trust ni cheating ambayo si ya kuhisi ila yenye evidence. Sasa kama ulishacheat afu nikakupigia simu umezima sijuhi imeishiwa charger, well naweza nikaonyesha kukubali maelezo utakayonipa lakini deep inside naanza ku relate na cheating incidence. That is out of my control. I can forgive yes but forgetting is difficult no matter how hard I try.
Sijawahi kukosa trust kwa mtu kwa sababu nyingine yoyote (ndogo ndogo) zaidi ya uzinzi.
Dark City karibu sana Babu yangu duh asa mazingira gani unayozungumzia? Babu unatukatisha tamaa ina maana tupende kimachale?
Hahah Babu kwa hapo chini nimekuelewa hapo pa kuondoa kwesheni maki za mwenzio ila hapo juu pa kutoingia mzima mzima duh.... Kumbe nlikuwaga nakosea? Sasa ntampendaje mjukuu mkwe wako nusu nusu? Naomba unifundishe Babu mjukuu hatowezasavaivu akiumizwa tena! Hebu nipe teknikhMJ1 mjukuu wangu, mbona unanitisha?Kwani wewe siku zote unaingiaga mzima mzima???? Haya mambo ni sanaa na hiyo element inatakiwa kuwekwa maanani wakati woteBack to topic...Kama mwenzio kakuwekea alama za kuuliza..ni jukumu lako kuzitoa, kuziacha au kuzikazia. Ila kocha bora siku zote atajitahidi kubadili mchezo kama akiona mambo hayaendi kama alivyotegemea. Bado hujaelewa?
AhHahah Babu kwa hapo chini nimekuelewa hapo pa kuondoa kwesheni maki za mwenzio ila hapo juu pa kutoingia mzima mzima duh.... Kumbe nlikuwaga nakosea? Sasa ntampendaje mjukuu mkwe wako nusu nusu? Naomba unifundishe Babu mjukuu hatowezasavaivu akiumizwa tena! Hebu nipe teknikh
MJI bwana maswali yako yako kimtego mtego sana
kuna watu wameumbwa kutoamini wengine hata uwe hujafanya kosa anaweza kukubea bango kisa tu ulisalimiana na mwanaume mwingine.hawa huwa siwaelewi labda wanaishi na past kwenye present.
nimeona MJI anasema wanaume sio rahisi kusamehe mi nachelea kukuambia sio wote kuna wanaume wanasamehe na anakuambia kabisa hakuna binadamu aliyemkamilifu sasa wewe ndo unabaki kuhangaika na hutamsikia akiongelea kosa ulilotenda maisha.