Kama utakuwa na Amyner usije tena kutupokea!Amyner???? Sahau....alikuwa kazini ndo amerudi hapa....Teh ndo namwambia mnakuja j2 akasema tutakuja wote kuwapokea tukiwa km familia ya Bwana na Bibi Erickb52.....
Hahahahaaaa kwanza hii thread km ameisoma tu atagundua kuwa Kaby ni noma...yan ana mbinu kali sana
Yaani wewe mchonganishi sana!Hahahaa umeona anakusifia?
Dah mi hapo sitii neno ila ntaamua ugomvi baadae
hata kwangu mkataba ulikuwa mfupi bhana,umenikatisha mautamu gafla
Kumbe una baiskeli lol ndo mana Kaby alikutema aiseeeNaapa haki ya mzungu shahidi mhindi,we mtoto utanifanya niuze baiskeli yangu then nitembee kwa miguu.
Hahahaaa ila anakupenda sema Uporoto alimdanganya kwa ka Vitz akaamua kukumwaga
Unaona matokeo ya kuokota wanaume walio na mapenzi ya dhati....mpe sasa aache kutangataanga
Hahaha! Uza then uniM-PESA hela za mauzo lol..Naapa haki ya mzungu shahidi mhindi,we mtoto utanifanya niuze baiskeli yangu then nitembee kwa miguu.
Si ni pale USA kwa Leganga
Teh anataka kubadili uelekeo....kumbe kuna deni Kaby anamdai sasa sijui ni niniYaani wewe mchonganishi sana!
Kumbe una baiskeli lol ndo mana Kaby alikutema aiseee
Ulivomtaja nitonye mapigo ya moyo yamebadili mwelekeo ghafla... Ntampata wapi jamani?
Hehehe, anaendesha baiskeli mpaka njiro kwa kina kaby, akifika majasho yamemtoka afu anatoa li deleki lenye picha ya bangi anajifutia mbele ya kaby, asiachike mchezo Erick!..Kumbe una baiskeli lol ndo mana Kaby alikutema aiseee
Panga tena jamani.....si ukweli huo...hahahaaaaapanga langu mbona silioni??
Hahaha! Uza then uniM-PESA hela za mauzo lol..
Hahahahaaa acha maneno Jibu hoja ya Musee Execellent
Hahahaaaa Excellent Hii kashfa aiseeeHehehe, anaendesha baiskeli mpaka njiro kwa kina kaby, akifika majasho yamemtoka afu anatoa li deleki lenye picha ya bangi anajifutia mbele ya kaby, asiachike mchezo Erick!..
Wifi nimeijaribu nayo hapatikani...daah!ana namba mpya ya tigo ijaribu ile, huwa anaiweka asipotaka kusumbuliwa na dingi
Hahahaaaaa hapo ngoja si tukae pembeni kwanza mmalizane aisee..
SweetLady umemuona Excellent?
Hahaha! Mie nataka hela bana, moyo mpe Erick anishikie!yethu na maria.......hilo usijali hata ukitaka nitakupa moyo wangu