Trust Again in a Man.

Mnanionea kwa kuwa hajaja eeeeh ngoja akija tutaona kama mtayasema haya kwa Binti Kisura,Amy wa mashauzi...lol mtoto Pozi...mtoto tabasamu....utantaka mie.....

hata hujui yuko wapi, we jikalize tu hapo mwenzio anakamatiwa huko
 
Ulivomtaja nitonye mapigo ya moyo yamebadili mwelekeo ghafla... Ntampata wapi jamani?
Yuko home kakaaa tu hana hata simu ya kutumia kwa JF coz ule mchina wake wameuiba wamemwacha na nokia Kitochi
Lol hakana net
 
Hahahaaaaa hapo ngoja si tukae pembeni kwanza mmalizane aisee..
SweetLady umemuona Excellent?
Nimemuona swahiba kama vile anataka ku renew mkataba lol, tujiweke pembeni Erick kuepuka ushahidi.
 
Dah km vipi mpindue jamaa maana nae kapotea kwenye kunywa banana....hamfai tena binti mzuri km SL
Hahaha! Unapenda kumsingizia husband anakunywa banana, khaaa sasa ndio nini unamfundisha Excellent bad manner?
 
Dah km vipi mpindue jamaa maana nae kapotea kwenye kunywa banana....hamfai tena binti mzuri km SL
Dah angekubali tungebadilishana sema tu mimi bado nipo nipo kwanza
 
hata hujui yuko wapi, we jikalize tu hapo mwenzio anakamatiwa huko
Amyner???? Sahau....alikuwa kazini ndo amerudi hapa....Teh ndo namwambia mnakuja j2 akasema tutakuja wote kuwapokea tukiwa km familia ya Bwana na Bibi Erickb52.....
 
Hajaona mashairi eeh? Mwache azubae mwenzie anamwaga tu mashairi Uporoto anajisogeza kama mbwa ajisogezavyo kwa chatu lol.

hehehe baeleze baelewe ndo maana nisipokuona sina raha my wiii
 
Hahaha! Excellent ujue nitonye ni sempai, akitokea hapa shauri lako!

Naapa haki ya mzungu shahidi mhindi,we mtoto utanifanya niuze baiskeli yangu then nitembee kwa miguu.
 
Hahahaa siku hizi watu wanaanzaga honeymoon then baadae ndo wanapeleka mahari....lol
Ni kama Cantalisia na Rejao au SweetLady na HB Nitonye

inategemea,mimi sijafunzwa hivyo kwetu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…