Trust Again in a Man.

ndo manake kwa penzi nilikuwa nampeleka paradiso ila sema tu sijamridhisha kwa vijisenti
Teh kwa sasa inaonekana mume mwenzio wa sasa anampa vijisent ila ila mambo ndo hatosheki thats why ameanza kurudi kwako
 
Erick atashika namba 1, na hatapata mpinzani lol.
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Umeona mlivyo na majungu?
Ngoja nimwambie atangaze zawadi ya MAJUNGU MAKERS tena wenye Collabo la hatari
 
Teh kwa sasa inaonekana mume mwenzio wa sasa anampa vijisent ila ila mambo ndo hatosheki thats why ameanza kurudi kwako

yah nalitambua hilo ila nimejikaza kisabuni
 
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Umeona mlivyo na majungu?
Ngoja nimwambie atangaze zawadi ya MAJUNGU MAKERS tena wenye Collabo la hatari
Najitoa kwenye kinyang'anyiro!
 
Amyner???? Sahau....alikuwa kazini ndo amerudi hapa....Teh ndo namwambia mnakuja j2 akasema tutakuja wote kuwapokea tukiwa km familia ya Bwana na Bibi Erickb52.....

wifi si nilikwambia mwanaume analelewa huyu,maskini amy mpe pole na kazi
 
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Umeona mlivyo na majungu?
Ngoja nimwambie atangaze zawadi ya MAJUNGU MAKERS tena wenye Collabo la hatari

Kumbe Amy ni wake,,mwaka huu sina bahati
 
Baadaye wakuu naona sredi inaenda kusiko
 
Amyner???? Sahau....alikuwa kazini ndo amerudi hapa....Teh ndo namwambia mnakuja j2 akasema tutakuja wote kuwapokea tukiwa km familia ya Bwana na Bibi Erickb52.....

hahahahaha imesound vizurii mpaka nimetamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…