Trump yupo sahihi, Iran haitakiwi kuwa na silaha hatari, inaongozwa vibaya, imerusha makombora nchi zote rafiki wa US. Afrika bahati tupo mbali

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Kuna wakati Rais wa Marekani aliulizwa kwa nini Iran hairuhusiwi kumiliki silaha za nyuklia wakati kuna mataifa yanazo?
Rais wa Marekani alijibu kwa kuuliza swali, Hivi ukimwona mtu mzima mwenye busara ameshika kisu unaweza kuwa na wasiwasi wowote? Na vipi ukimwona kichaa anatembea na kisu?

Hii vita inayoendelea, hakika imethibitisha kuwa Iran inaongozwa na vichaa ambao ikitokea wakawa na silaha hatari, Dunia nzima itakuwa kwenye hatari ya kuangamizwa.

Fikiria kuwa Israel na USA ndiyo nchi zinazoishambulia Iran, lakini Iran inarusha makombora hovyo kuelekea mataifa yote ambako makombora yake yanafika. Hao viongozi vichaa wa Iran wanasema wanashambulia taifa lolote rafiki wa Marekani au Israel. Hii ina maana kama Iran ingekuwa na makombora ya kuweza kufika hata huku Afrika, ingeshambulia nchi zote ambazo zina mahusiano ya urafiki na Marekani!

Hakika, ni vyema nchi hii isiwe na silaha yoyote hatari inayovuka mipaka ya Taifa lake. Tuombee hii vita inayoendelea ihitimishe na kuua kabisa uwezo wa Iran kuyashambulia mataifa jirani zake. Israel na Marekani waliona mbali, maana kama Iran ingekuwa na makombora ya nyukilia, sahizi ingekuwa tayari imesharusha.

Maombi yetu makubwa kwa Marekani na Israel, wajitahidi sana kuzuia mauaji ya wananchi raia wa Iran, na hasa watoto. Wananchi wa Iran wamepitia magumu mengi chini ya Ayatollah, hawastahili kuuawa bali kuonewa huruma na kuwathibitishia kuwa uhai wao ni wenye thamani kubwa. Wakiuawa ovyo, wananchi hawa watashindwa kutofautisha matendo ya Ayatollah vs ukombozi unaofanywa na Marekani.

Tunawapa pole wananchi wa mataifa ya Kuwait, Bahrain, UAE, Saudi Arabia ambao kwa kiwango fulani wameumizwa na makombora na drones za Iran.

Hakika, kwaajili ya udalama wa Dunia, Iran isimiliki silaha hatari.
 
Mambo mengine mnaandika mnataka tuchangie tunyimwe visa za kwenda ubeberuni.
Katika nchi zilizo shambuliwa ipi haina assets za kijeshi za beberu na mdogo wake.
Vita inapiganwa kwa propaganda pia.
Who controls narratives wins the war..
 
Ukitumia brain yako unalipa kodi kiasi gani?

Hivi jirani yako akimruhusu adui yako kuweka shehena ya mawe yake kwenye yard yako ili aweze kukushambulia kirahisi utamtofautisha na huyo adui yako?
 
Kuna wakati Rais wa Marekani aliulizwa kwa nini Iran hairuhusiwi kumiliki silaha za nyuklia wakati kuna mataifa yanazo?
Rais wa Marekani alijibu kwa kuuliza swali, Hivi ukimwona mtu mzima mwenye busara ameshika kisu unaweza kuwa na wasiwasi wowote? Na vipi ukimwona kichaa anatembea na kisu?

Hii vita inayoendelea, hakika imethibitisha kuwa Iran inaongozwa na vichaa ambao ikitokea wakawa na silaha hatari, Dunia nzima itakuwa kwenye hatari ya kuangamizwa.

Fikiria kuwa Israel na USA ndiyo nchi zinazoishambulia Iran, lakini Iran inarusha makombora hovyo kuelekea mataifa yote ambako makombora yake yanafika. Hao viongozi vichaa wa Iran wanasema wanashambulia taifa lolote rafiki wa Marekani au Israel. Hii ina maana kama Iran ingekuwa na makombora ya kuweza kufika hata huku Afrika, ingeshambulia nchi zote ambazo zina mahusiano ya urafiki na Marekani!

Hakika, ni vyema nchi hii isiwe na silaha yoyote hatari inayovuka mipaka ya Taifa lake. Tuombee hii vita inayoendelea ihitimishe na kuua kabisa uwezo wa Iran kuyashambulia mataifa jirani zake. Israel na Marekani waliona mbali, maana kama Iran ingekuwa na makombora ya nyukilia, sahizi ingekuwa tayari imesharusha.

Maombi yetu makubwa kwa Marekani na Israel, wajitahidi sana kuzuia mauaji ya wananchi raia wa Iran, na hasa watoto. Wananchi wa Iran wamepitia magumu mengi chini ya Ayatollah, hawastahili kuuawa bali kuonewa huruma na kuwathibitishia kuwa uhai wao ni wenye thamani kubwa. Wakiuawa ovyo, wananchi hawa watashindwa kutofautisha matendo ya Ayatollah vs ukombozi unaofanywa na Marekani.

Tunawapa pole wananchi wa mataifa ya Kuwait, Bahrain, UAE, Saudi Arabia ambao kwa kiwango fulani wameumizwa na makombora na drones za Iran.

Hakika, kwaajili ya udalama wa Dunia, Iran isimiliki silaha hatari.

Ujue hizo Nchi Marekani imeweka vituo kama ilivyo weka kituo kikubwa kabisa cha kijeshi Israel
Hivyo Irani, haipigi hizo Nchi bali inapiga vituo vya Marekani vilivyopo kwenye hizo Nchi!
TATIZO UNALETA POST AMBAYO HUNA ELIMU NAYO!!!
 
Mambo mengine mnaandika mnataka tuchangie tunyimwe visa za kwenda ubeberuni.
Katika nchi zilizo shambuliwa ipi haina asset za kijeshi za beberu na mdogo wake.
Vita inapiganwa kwa propaganda pia.
Who controls narratives wins the war..
Kabisa...

Iran ndio nchi pekee ambayo haina historia ya kuvamia nchi nyingine ukanda huo.

Iran anafanya hayo yote kama sehemu ya kujilinda maana hizo kambi zimetumika kumshambulia na kuua viongozi wake.
 
Unazungumzia vichaa? Iran na Marekani ni nani anaongozwa na kichaa?

Hoja zingine si za kujadiliwa hadharani aisee.

Japo Ayatollah alikuwa mkatili, lakini huwezi kusema kuwa Trump naye yuko sawa kichwani.

Binafsi sababu walizozitoa Marekani kwa nini wameishambulia Iran, sijazikubali.

Halafu Marekani imejenga hoja kwamba eti yenyewe ndo imeshambuliwa na Iran 😂.

Wamerudi nyuma miaka 47 na kusema mapinduzi ya mwaka 1979 ambapo kuna Wamarekani walitekwa, ndo sababu ya Marekani kuanzisha vita dhidi ya Iran.

Vitu vingine vinachekesha sana kwa kweli.
 
Aisee hii ni aibu.

Trump amejishushia sana heshima ambayo alipewa na wengi ikiwemo Wamarekani waliomchagua.

Hii issue imempunguzia sana credibility na influence aliyokuwa nayo...

Hata ye mwenyewe akikaa peke yake baadae ataona kavuruga.
 
Back
Top Bottom