Trump won’t finish his first term

Trump won’t finish his first term

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,562
Reaction score
25,864
kutokana na hali ilivyo, huyu jamaa hatamaliza huu muhula wake, mark my words!

Cohen is about to be indicted with some serious charges. I think he will rat on the president to save his skin. The president will have to resign.

Kuna wale wanaozungumzia kuhusu pardon power of the president. Well, sidhani kama atapata hiyo nafasi. Huyu Cohen, the so called Trump’s “FIXER”, kushitakiwa kwake ni sawa tu na Trump kushitakiwa.
 
Yule mtabiri maarufu wa uchaguzi Marekani alisema Trump hatamaliza mwaka atakuwa "impeached". Amemaliza mwaka. Na hii ya kusema hatamaliza first term huenda nayo ikapitwa na matukio. Tusubiri tuone. Sitashangaa kumwona Trump akimaliza muhula wake huu wa kwanza.
 
Mlianza:
1. Hataapishwa kuwa rais, akaapishwa!
2. Hatamaliza siku 100 akiwa rais, sasa ana siku 365+
3. Leo mmekuja na wimbo mpya, hatamaliza term!
 
Source ya Taarifa yako Tafadhali

Manake hata Obama + Merkel + May + Hollande + Renzi

Wooote walisema "Trump Will not Become President"

At the end of the day Trump Become President.

Sasa wimbo mpya ni "Trump will not Finish his First Term as a president"

Lakini Nakuhakikishia Cyo kumaliza Tuu yaani hata 2020 hakuna wa Kumzuia Kushinda... Hizi Ngonjera anzeni Kuziimba 2024
Ikiwa Clinton na yote yale alirudi, Bush naye japo kina mama wa maaskari waliokufa Iraq waliilaumu vita ile alirudi kwa awamu ya pili; Trump huenda naye akarudi kwa awamu ya pili.
 
Ukute uko kwenu yombo kwenye masofa ya shemeji yako unatabiri mambo ya USA
 
Back
Top Bottom