SA IVI WANAIGA AFRIKA
Angalau tumepata kitu nasi Wazungu wanatuiga[emoji3][emoji3][emoji3]
SA IVI WANAIGA AFRIKA
Huenda Trump anataka kuingia msituni akishindwa...
Kusema live kuwa akishinda yeye ndipo atakubali matokeo tofauti na hapo noheading uliyoweka ni ya kiuchochezo. . . hakusema hawezi kukubali matokea bhana, bali alikataa kutoa jibu la moja kwa moja na kusema hilo hawezi kuliongelea kwa sasa
Kiufupi kashajua kashindwa
Hakika mkuuHuu uchaguz wa marekan kwa mwaka huu ulikua rahisi sana kwa republics kama wangeweka mtu kama Jeb Bush.
ni endapo akibanini kuna hujuma zimefanyika.Kusema live kuwa akishinda yeye ndipo atakubali matokeo tofauti na hapo no