Historia ya kwao mpaka kuwa matajili kuna kipindi kulitokea mdororo wa uchumi USA walinunua nyumba nyingi na maeneo na leo wanajifanya kama hawafahamu.Mimi mwenyewe kanifurahisha tajiri gani asiyetazama kuhusu mwenendo wa soko la hisa
Bora wewe umeliona hili kwa jicho la ndaniHistoria ya kwao mpaka kuwa matajili kuna kipindi kulitokea mdororo wa uchumi USA walinunua nyumba nyingi na maeneo na leo wanajifanya kama hawafahamu.
Unajua matajiri wanajifanya kama hawapo ili waendelee kuwa matajiri kwenye mbinu
MAGA ni wamarekani wajinga kuwahi kutokea katika historia ya Marekani.Trump ni mnafiki. Wakati wa kampeni aliongelea sana soko la hisa na crypto.
Nyie mngekuwa na akili hata kidogo tu basi nchi yenu isingekuwa hovyo hivi kama ilivyo leo.MAGA ni wamarekani wajinga kuwahi kutokea katika historia ya Marekani.
Nchi ya hovyo kwako tuacheNyie mngekuwa na akili hata kidogo tu basi nchi yenu isingekuwa hovyo hivi kama ilivyo leo.