Ni Billionea ila sio kulisha Amerika nzima!Hivi jamani ni kweli kuwa Trump ana mihela ya kuweza kulisha America Nzima?
Ni kweli anaweza kulisha Amerika nzima kwa mlo wa siku moja tena ni mlo mmoja wa chai ya rangi bila kitafunwa.Hivi jamani ni kweli kuwa Trump ana mihela ya kuweza kulisha America Nzima?
Shule gani hii imewahi kuanza likizo hv? Mkikua mtaachaHuku kitaa watu wana stori za ajabu sana eti ni tajiri mkubwa duniani na Marekani na anaweza kuwalisha wamarekani wote. Hivi watu wanadhani ni rahisi mtu mmoja kulisha nchi nzima?
Itakuwa St KayumbaShule gani hii imewahi kuanza likizo hv? Mkikua mtaacha
Trump ni bwana mdogo sana,ni tajiri wa 156 marekani tu.sasa jiulize tajiri wa kwanza USA atakuwaje?trump utajiri wake ni dola bilioni 3.7 tu.Billget ndie tajiri namba moja USA na duniani,ana utajiri wa dola bilioni 75.trump ni bwana mdogo sanaHivi jamani ni kweli kuwa Trump ana mihela ya kuweza kulisha America Nzima?