Trump: Ninakosa maisha yangu ya zamani.

Trump: Ninakosa maisha yangu ya zamani.

" Ndio maana Mimi sio mwanasiasa" nukuu ya .......
tapatalk_1470173411156.jpeg

Mwisho wa kunukuu.....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Tatzo walishazoea kujiachia kuwa huru sasa wale wazee wa kaunda suti mda wote wanawachunga kama mbuzi achungwavyo basi wanakua wanapata shida mwanzoni, ila kadiri siku znavyosonga wanazoea na wananogewaa kabisaaa.
Kama yule aliekua udom jana aliwaweka wazi wale jamaa wamuachie kidg hata azungukee maana sio kwa m'bano uleee.
 
Kazi ya urais ngumu balaa tena kwa taifa kama Marekani

Eeeh !! ameyaMissi maisha ya ungese!???!

Kama kazi imekuwa ngumu kuliko ulivyotegemea si uombe kustaafu?Uraisi sio kazi ya kukimbilia ni kazi ya kumtanguliza Mungu mbele na kuomba hekima kuliko tunavyofikiri.Utazeeka mapema sasa

Na mnyoa kiduku anavyojiamni atampelekesha mpaka akome kuringa wamwambie avue hilo wigi la sivyo kuna siku ataomba kuachia ngazi yeye alifikiri urais ni kuamka tua unaanza kutoa matamko

Nilijua tu cku moja atasema hivi,asikumbuke maisha ya kwenda kupigana ulingoni,asimiss maisha ya kwenda kumbi mbalimbali na kupiga picha na mastaa ?
Alikuwa akimkosoa sana Obama kuhusu utendaji wake, hakujua kuwa kuongoza nchi ni tofauti na kuongoza Kampuni.
 
Back
Top Bottom