technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,675
Check out @realDonaldTrump's Tweet:
Trump amekuwa mnafiki sana mtu ambaye si wa kumwamini sana....
Trump akishinda sehemu kwenye kura za maoni anafurahia sana na kusema big win....
Lakini akishindwa anaanza kulia lia Mara uchaguzi umechezewa....
Kiukweli huyu jamaa simwelewi kabisa wanaotoa kura za maoni za kushinda kwake baadhi ya majimbo ni wale wale wanaotoa kushinda kwa Clinton....
Iweje analalamika sana kuwa uchaguzi umechezewa wakati anaposhindwa ?
Akishinda asemi kuwa uchaguzi umechezewa?
Leo tena kawashambulia wasomali wanaoishi nchini marekani kuwa wanatakiwa kuondoka maana wanaleta ugaidi .
Sioni tena nafasi yake yakushinda uchaguzi huu kama akishinda dunia itakuwa imeingia kwenye mgogoro mzito wa kidini hasa kwa Waislamu na wakiristo. ...