Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,803
Wana jamvi yani mimi nimenunua King`amuzi ili niweze kufatilia vita mubashara alafu Trump analeta woga wake anakimbia uwanja wa mapambano ...!!
Sijui kule Pasific alifata nini??
Mwenye parachichi au dodo lililoiva vizuri anipatie nimpe King`amuzi maana sina kazi nacho tena. I buy this purposly to wotch a war game USA VS KOREA. Yani usawa huu wa Magufuli watu tubatiana hasara kijingajinga namna hii