Down with Assad!
Njaa mbaya sana....si trump alisema hana mpango na mambo ya watu
Us wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
Usipoangalia story ya Assad na raia ni kama Libya na. QadafiUs wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
Sasa ikitulia hao wezi/wanyang'anyi watanufaikaje na misheni yao?Hivi baada ya gadaf kupigwa libya ilitulia?
Yap!! Russia inamwelewa Trump!na Trump anawaelewa Russia! Mguu na goti! Pole assadUs wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
Itakua vita kati ya USA na Russia, sio vita ya dunia.Je, Russia wanatakaa kimya wakati rafiki yao anabamizwa? kama wataamua kurudisha mashambulizi je, ndiyo itakuwa hatua za mwanzo za vita kuu ya tatu duniani!? CNN wanadai kabla ya mashambulizi kuanza rasmi, Russia walijulishwa kuhusu mashambulizi hayo.