Trump kutoongeza muda wa kujitenga

Trump kutoongeza muda wa kujitenga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Wakati Shirika la Fedha Duniani likiendelea kutangaza kuridhia fedha za dharura za kukabiliana na janga la corona, rais Donald Trump wa Marekani anasema hatoongeza muda wa miongozo ya watu kujitenga.


USA | Washington | Trump äußert sich über das Coronavirus (picture-alliance/Captital Pictures/MPI/RS)

Pamoja na kukabiliana na upinzani kutoka pande tofati za taifa hilo, Rais Donald Trump wa Marekani amesema serikali haitozidisha muda wa mwisho wa miongozo ya kujitenga kwa raia wake baada muda wake uliopangwa Alhamisi hii kumalizika.

Hata hivyo watu wake wa karibu akiwemo mshauri wake, Jared Kushner, wametabiri kwamba Marekani ambayo ipo katika hali mbaya ya kimaambukizi kwa wakati huu, hali hiyo inaweza kujirudia tena Julai.

Wakati Marekani Trump anafikiria hatua hiyo huko Japan Huko Japan kwa hivi sasa Waziri Mkuu Shinzo Abe anatarajiwa kuwasiliana na wataalamu kutathimini uwezekano wa kuongeza muda wa tangazo la hali ya hatari. Japan ina maambukizi 14,119 na vifo 435, lakini Marekani maambikizi milioni 1.05 vifo 61.472.


DW
 
Pamoja na kukabiliana na upinzani kutoka pande tofati za taifa hilo, Rais Donald Trump wa Marekani amesema serikali haitozidisha muda wa mwisho wa miongozo ya kujitenga kwa raia wake baada muda wake uliopangwa Alhamisi hii kumalizika.
IT SEEMS HE DOESN'T WORRY ABOUT THE POSSIBILITY OF SECOND HIT OF THE PANDEMIC!

OK, LET'S SEE!
 
Trump hana mamlaka ya kuingilia States kwenye issues kama hizo. Alitaka kuwaletea udikiteita wakamkomesha na vifungu vya Katiba akaomba msamaha!
 
Back
Top Bottom