Camp David ipo Maryland.Frolida ndipo ilipo camp david ? Kama ni hapo,ile ni ikulu kabisa ina kila kitu,presidential retreat za wamarekani zina kila kitu
Hata korea kim chini ya chumb chake kuna military complex anawezakuanzisha vita ya nuclear akiwa chumbani
Florida ana nyumba zake binafsi pia.kahamisha makazi yake binafsi labda na kampuni zake toka New york hadi Florida ila sio kuhamisha white house.
Na aliweka kibwagizo twitter
Hapana. Camp David ipo Maryland.Kumbe camp David hiko Frolida? Huwa naisikia ni matata hatari.
Camp David ipo MarylandFrolida ndipo ilipo camp david ? Kama ni hapo,ile ni ikulu kabisa ina kila kitu,presidential retreat za wamarekani zina kila kitu
Hata korea kim chini ya chumb chake kuna military complex anawezakuanzisha vita ya nuclear akiwa chumbani
Kama rais wenu wa Tanganyika aliweza kuhamia sehemu remote kama Dodoma kutoka jijini Mzizima. Itashindikana vipi DT kushindwa kuhama kutoka NY kwenda Frolaida ?Rais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze
Sio kweli mkuu. Mimi nina miaka mitatu hapa NYC na tunaishi maisha ya kawaida sana sema lazima uwe na income ya uhakika.Nasikia New York mtu wa kawaid ili uweze kuishi inakupasa uwe na kama 700k USD dollar..huo mji co wa mchezo mchezo..
Ngoja Trump aje kujibu sisi tupambane na ikulu yetu ya Dar na makazi ya ndugu jiwe Dodoma!Rais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze
Dah maisha vip uko mzee ..kuna furusa za kazi...??Sio kweli mkuu. Mimi nina miaka mitatu hapa NYC na tunaishi maisha ya kawaida sana sema lazima uwe na income ya uhakika.
Trump kakimbia New York na uraisi wake haoni fursa unataka kwenda New York?Dah maisha vip uko mzee ..kuna furusa za kazi...??
Jamaa umejitahidi sana kuandika florida lakini umeshindwa dah. Hili tatizo la R na L ni janga la taifaRais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze
Jamaa kashindwa kabisa kuandika florida. Kaanza na frorida akaona kama anakosea ajaja na frolida. Dah aibu sanaKuamia = Kuhamia
Frolida = Florida
Kazi zipo nyingi sana mkuu. Ma boksi yakubeba yamejaa kama yoteDah maisha vip uko mzee ..kuna furusa za kazi...??
Acha kutisha watu bwana mdogo. Kila mmoja ana bahati yake maishaniTrump kakimbia New York na uraisi wake haoni fursa unataka kwenda New York?
UnajimwambafaiSio kweli mkuu. Mimi nina miaka mitatu hapa NYC na tunaishi maisha ya kawaida sana sema lazima uwe na income ya uhakika.
Frolida [emoji3][emoji3]Jamaa umejitahidi sana kuandika florida lakini umeshindwa dah. Hili tatizo la R na L ni janga la taifa
Na wewe njoo mkuuUna
Unajimwambafai
Nimekaa Roma napples Milan Turin Genoa na USA nimekaa Iowa na Connecticut utanitisha niniNa wewe njoo mkuu
ThanksHapana. Camp David ipo Maryland.