RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,124
Rais wa marekani Dornad Trump amesema, tiyari wamesha tambua ni nani aliye husika na shambulizi kwenye mtambo ya kuzalisha mafuta ya Saudia arabia, na si mwingine bali ni Iran lakini pamoja na hilo hataki kabisa vita na Iran.
Akiongea leo usiku katika ikulu ya marekani amesema na hapa namnukuu ,tiyari tumesha mtambua aliye husika na mashambulizi kwenye vituo vya mafuta vya Saudia,na si mwingine bali ni Iran,lakini pamoja na hayo sitaki kabisa vita na Iran na nitafanya kila liwezekanalo kuepusha hilo,mwisho wa kumnukuu.
Matamshi hayo yana kuja baada ya hapo jana kuandika kwenye ukurasa wake wa tweet ya kwamba alikuwa tiyari kujibu kwa njia za kijeshi kwa yeyote yule aliye husika katia mashambulizi hayo.
Chanzo : DW Swahili.