Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 788
- 1,015
Asee Trump kumbe ni kichwa kinoma asee, sikuliza maoni yake juu ya uzembe wote na aibu aliyoileta Joe kwa America, sikuliza maoni yake na kisha sikuliza maendeleo aliyoyafanya kwa jeshi la US kumbe bila yeye wangekuwa outdated technologically by now.
Remember ni Trump aliyemwambia Putin mwaka 2016 kama sikosei kuwa ukiendelea kutumia poison gas kule Syria naku - Nuke , na alimwambia direct by phone na Putin alituliza mzuka, kumbe vyombo vya habari vya magharibi ni sumu sana huyu jamaa ndio walimpaka matope kumbe ndio mtu bora zaidi kwao,
Hata hizo Juberin zinazomaliza vifaru vya warusi ni yeye ndie aliwapelekea Ukraine, kumbe bila Trump leo Ukraine wala isingekuwa na maajabu haya.