Trump awekewa ulinzi kwa hisia zake!

Trump awekewa ulinzi kwa hisia zake!

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,153
Baada ya muendelezo wa kauli na Matendo yanayoashiria kumpinga bwana Trump.

Kikosi cha ulinzi cha viongozi marekani ama secret service kimeamua kumuwekea ulinzi ambao utamlinda rais na kuvunjika moyo au kupata hisia zitakazomfanya kushindwa kufanya kazi zake ipasavyo!

Kikosi hicho maalum kilifikia hatua ya kumziba Rais masikio ili asisikie kelele za wakosoaji wake, na kwa wakati flani kuziba TV ili asione maandamano ya wakosoaji wake!

Kwa nyakati tofauti pia kikosi hiki huondoa magazeti au kitu chochote kinachoonesha kumpinga Rais kabla hajaingia chumba anachohitaji kukitumia kwa muda huo!

Secret Service Adds Emotional Protection Division To Safeguard Trump’s Psyche
 
Hicho kikosi kina kazi ya ziada haswa! Maana akivurukikiwa tu kosaa
 
Trump anawezana na mkwe wake kushner na bintie ivanka peke yake,
jamaa ni chizi kweli
 
Haha jamaa mpaka wanamziba maskio bosi wao? Kazi wanayo!
Umeona ee naona mzee akiambiwa au kuona kitu kibaya kwake anachanganyikiwa,
Sasa akitukanwa na Iran kidogo anasema ntagusa button ohooo.

Ni hatari kwa dunia maana ndio amiri jeshi, wamlinde sana asije akatuletea madhara kwa kweli
 
Kuongoza watu nitofauti na unavyoongoza waumini kanisani/msikitini au watu wa imani zingine (ni watu walipo katika eneo fulani) au mchungaji wa wanyama...

Kiukweli kuungoza watu kunanahitaji degree ya kutoka kwa mungu tu si vinginevyo...

Degree za binadamu wenzetu zinatusaidia tu kupata maarifa mapya tu ya duniani ambayo kimsingi hayawezi kuendesha dunia...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kuwa na PhD???
 
🙂🙂
Sio kuwa na PhD???
Kama wewe ni msomaji mzuri wa vitabu vya Mungu ni wapi walikotaja kuwa nuhu,samueli,yusuph n.k kuwa walikuwa na degree au phd lakini bado walifanya vizuri katika uongozi na kusimamia watu wao?

Elimu ya duniani haizidi maarifa tukiyopewa na Mungu...
 
He
Baada ya muendelezo wa kauli na Matendo yanayoashiria kumpinga bwana Trump.

Kikosi cha ulinzi cha viongozi marekani ama secret service kimeamua kumuwekea ulinzi ambao utamlinda rais na kuvunjika moyo au kupata hisia zitakazomfanya kushindwa kufanya kazi zake ipasavyo!

Kikosi hicho maalum kilifikia hatua ya kumziba Rais masikio ili asisikie kelele za wakosoaji wake, na kwa wakati flani kuziba TV ili asione maandamano ya wakosoaji wake!

Kwa nyakati tofauti pia kikosi hiki huondoa magazeti au kitu chochote kinachoonesha kumpinga Rais kabla hajaingia chumba anachohitaji kukitumia kwa muda huo!

Secret Service Adds Emotional Protection Division To Safeguard Trump’s Psyche
need to stop tweet.Trump play boy amezoea u celebrity.Amebwana sasa Atakuwa bored vibaya mno .Wanawake kuruka kwenye ndege na wakina bill clinton na wanawake hakuna tena.Halali kwenye kitanda cha gold tena Wala
 
Baada ya muendelezo wa kauli na Matendo yanayoashiria kumpinga bwana Trump.

Kikosi cha ulinzi cha viongozi marekani ama secret service kimeamua kumuwekea ulinzi ambao utamlinda rais na kuvunjika moyo au kupata hisia zitakazomfanya kushindwa kufanya kazi zake ipasavyo!

Kikosi hicho maalum kilifikia hatua ya kumziba Rais masikio ili asisikie kelele za wakosoaji wake, na kwa wakati flani kuziba TV ili asione maandamano ya wakosoaji wake!

Kwa nyakati tofauti pia kikosi hiki huondoa magazeti au kitu chochote kinachoonesha kumpinga Rais kabla hajaingia chumba anachohitaji kukitumia kwa muda huo!

Secret Service Adds Emotional Protection Division To Safeguard Trump’s Psyche
Sorry its a fake news.
 
Haha, this's funny. It's the Onion guys.
Lakini ki ukweli kweli Inabidi awekewe maalum kwa ajili ya ku tweet.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeona ee naona mzee akiambiwa au kuona kitu kibaya kwake anachanganyikiwa,
Sasa akitukanwa na Iran kidogo anasema ntagusa button ohooo.

Ni hatari kwa dunia maana ndio amiri jeshi, wamlinde sana asije akatuletea madhara kwa kweli
nuc' code..[emoji1] [emoji1] [emoji1] ..
 
Back
Top Bottom