Mkuu, the thing is mimi na wewe tunajua kuhusu mfano ishu 'A'. Wewe ukaifanyia kazi mfano deeper research, ukaitranslate na ukaipangilia na kuipost katika group lako la whatsapp or wherever.Mbona siwaelewi.........Mkuu kichakaa man kaweka post yake hapa..... lakini Mkuu The bold anasema atawatumbua wale wanaochukua post zake kwenye kundi lao..........Maana yake ni nini......? kwani ni wewe tu una uwezo na haki ya kuweka simulizi humu..........? kumbuka vitu kama hivi vipo tu na watu wengi wanajua ndio maana kuna hata na sinema.....Nao wasemeje Kwako....? si kila kitu unakijua wewe tu Pekee........!!!! wenzako wakisimulia jambo ambalo wewe unalijua unasema wemekopi kwako............acha hizo wewe.....acha kulewa sifa............Nitaacha sas kusoma post zako kama upo vivyo..........Tuonyeshe basi hapa JF wapi uliweka hii post.......? au unataka nasi tuje huko kwenye Group lenu sijui la nini.....???!!! Umeniboar sana.......
Nafikiri akikupa credit sio mbaya kama tunaweza soma kupitia yeyeHebu kuwa na aibu hata kidogo..
Huo mchezo unaoufanya wewe/mwenzako anayekuibia makala kutoka kwenye group la "Simulizi Za The Bold" alafi unakuja kuziweka huku bila aibu kujifanya za kwako siku zenu zinahesabika.. I'm tracking you down, soon mnakuwa removed from the group.. Ndani ya siku mbili tu nawatumbua..
Shame.!!
mkuu unapoandika makala yoyote lzm uwe na source tofauti ikiwemo internet ,makala na vitabu tofauti ukiandika makala toka kichwani bila ya kuwa na source hyo inakuwa hadithi za kusadikika!Mwenyewe pia katafsiri tu toka Wikipedia and other internet sources! Anyways, anatumia muda kutafsri makala zilizoandikwa na wengine!
Sikupingi na uko vizuri.....ila ishu hapa ya pili ni kutokusema ya kuwa Source ni nani.....?Mkuu, the thing is mimi na wewe tunajua kuhusu mfano ishu 'A'. Wewe ukaifanyia kazi mfano deeper research, ukaitranslate na ukaipangilia na kuipost katika group lako la whatsapp or wherever.
Mimi hapa Karucee nichukue makala yako 'A' niikopi na kuipesti tena word by word humu ama sehemu ingine ile kama vile ya kwangu. Na inajulikana kabisa ile makala ni ya kwako. Nitakua nimekutendea haki?
Kama na mimi najua chochote ningechangia makala yako kwa kuiongezea nyama, kuikosoa ama kui challenge. Am telling you ingekuwa tamu. Heated debates but intellectual ones.
I hope umeelewa. Samahani kwa kuboreka na ushinde salama.
Nenda kwenye nakala yake ya kipepeo ili ujue kwann kaunda grp sio mnabeza tuu....Kibaya zaidi wenzake wakiweka Post humu ili watu wasiokuwa kwenye Group lake wapate povu linamtoka kumbe naye apata kutoka Source nyingine.......Ndivyo habari zilivyo....na hapa ni JF kama hutaki watu wakopi andika kitabu...
Unapotaka ku accredit source ya makala yako unafanya hivyo mfano ume quote directly ama umechukua kipande kutoka kwenye kazi ya mtu ili usiwe accused of plagiarism.Sikupingi na uko vizuri.....ila ishu hapa ya pili ni kutokusema ya kuwa Source ni nani.....?
Je naye anapofanya hivyo anatoa Source...?
Mfano Nuclear football - Wikipedia
Principles za uandishi ni kua kama wewe sio direct source ya a certain information unapokipublish unatakiwa kusema umekitoa wapi! Unless otherwise hiyo inaitwa pladgerism, of which it is an offence!mkuu unapoandika makala yoyote lzm uwe na source tofauti ikiwemo internet ,makala na vitabu tofauti ukiandika makala toka kichwani bila ya kuwa na source hyo inakuwa hadithi za kusadikika!
hahahahahahahah.!! Mdukuaji amekuwa kama Snowden..Mdukuaji nampa Pongezi za Kipekee kwa kuleta hi habari hapa...
Ila Siku nyingine utuambie Makala ni ya The Bold. Aipendezi kumalizia mpira wavuni bila kumpa sifa mpiga pasi wa mwisho.....
Hapa ndipo ninapowaambia Members wasioelewa humu ndani.........hata kama umebadilisha badilisha maneno Mantiki ikibaki palepale hiyo siyo yako.......unatakiwa ueleze Source.........Principles za uandishi ni kua kama wewe sio direct source ya a certain information unapokipublish unatakiwa kusema umekitoa wapi! Unless otherwise hiyo inaitwa pladgerism, of which it is an offence!
Mademu wa jf washampa kichwa huyu ndio maana unaona dharau kibao ,si unaona hata waliomtag humu wengi wao ni wanawake waliopo kwenye hilo group lake
Dah huyu jamaa nilikuwa nimpa nafasi kubwa sana ya heshima ,unapewa Challenge kidogo unakuwa kama mwanamke bwana ,feelings za nini au anaye tumia hii ID yake ni Nifah ?
Hahahaaaha dah!..........Usimlaumu sana, pengine hivyo vijistori ndio ndoano ya kuvulia samaki.
Aiseeeeeeeee sikuwahi kufikiri kama nyie watu mna chuki kubwa kiasi hiki!Ndio yale yale unayosema kila siku........kuwa kuna baadhi ya watu wapo humu kujitafutia credit za KE.
Yaani jamaa karespond emotionally mno!
Nadhani manzi yake ndo anayetumia hii ID labda akirudi baadae atakuja kufanya masahihisho.
Muda haukufika wa kuileta ila naamini angeileta.kwani ametuletea mangapi aje atufiche ili.?ila sio fresh kuweka kazi ya MTU bila ruhusa yake.kama unakumbuka alishawahi kulalamika kuhusu gazeti la kisiwa kukopi makala ile ya kuuawa kwa Osama.Allah amrehemu.akawalalamikia jamaa wakamuelewa.hapa Tanzania kuna waandishi kibao.mbona hawaziandiki hizi makala kama ni kazi ndogo?tuheshimu nguvu na juhudi za mtu.pia na muda wake anaokaa kusoma na kutuandikia.Mdukuaji nampa Pongezi za Kipekee kwa kuleta hi habari hapa...
Ila Siku nyingine utuambie Makala ni ya The Bold. Aipendezi kumalizia mpira wavuni bila kumpa sifa mpiga pasi wa mwisho.....
Hivi yeye kulalamika makala yake kukopiwa kutoka huko ilikotolewa ni kosa?Bro umejiabisha kinoma!!! umejishushia heshima uliyokuwa nayo hapa JF.
Unachokifanya ni sawa na wale watoto wa kindergarten ambao vifutio vyao vikitumiwa na watoto wengine wanaanza kulia lia.
Kwenye hii mada kuna nini cha maana cha kukutoa povu?
Sawa Mkuu Mimi binafsi sikatai na wala sitakataa kuwa Mkuu The Bold anakipaji cha uandishi lakini si Miungoni mwa walioshauri aanzishe Group kwenye simulizi ya VIPEPEO WEUSI.....kwani kufanya hivyo kunatunyima haki isiyo rasmi humu ndani kisa eti hatuna FWEEZA ya kummotisha Mkuu The Bold......ingawa siyo jambo mbaya lakini sisi wengine ni Mbwa kachoka bado nipo hapa Tazara nadoea kazi ya Zege kwa hawa Wajapani............Kwa maana hiyo basi Mkuu The Bold mimi sina FWEEZA na nataka kusoma mapema kama hao walio kwy Group..............Tshs 5,000/= nyingi sana........Mchana wenyewe nakaanga Machine..........Kuishi na watu ni.kaz kudadek..watu walio kuwa wanasoma KIPEPEO ndio walio muomba THE BOLD afungue grp la whats app japp wampe yakupozea koo kwa kazi nzur
SasaCHARMILTON na wenzio mnaobeza bila kujua hivi story ya KIPEPEO mmeisoma kweli??
Maana ni.nzur ..so watu wakaona soo kusoma bure inakuwa kama wanamuiba mshikaji vile...THE.BOLD hajabagua watu kabisa .....
Watu wasengerema kinoma eti sifa anazo pewa na watoto wa kike...wakuu kutafsir si jambo la kitoto
Usome uelewe then uandike then jitu linacopy kilais lais hivyo...yanakuja majitu yanasemwa yanatengwa
Someni KIPEPEO muone ushujaa wa huyu wa mtu
Achen zenu jamaa.yupo gerezan anamkosa cheupe na majitu inatibua zaid huku
"Nitawatumbua",ha ha ha ha,huyu ,@Thebold kalewa madaraka huyu,ha haha,Jamani msivunje nguvu ya MTU.kukaa na kusoma kitu na kukitafsiri sio kazi ndogo.na kukiandika humu.wewe kama unajua tuache sisi tusiojua tumfuate.habari za kukopi mada za jamaa alafu unaleta humu kimya kimya sio fresh.kaa na wewe tafuta kitu utafsiri utuletee kama ni kazi ndogo.au mnaona jamaa ana faidi?
Mkuu nimeshangaa sana,mtu anatoa malalamiko yake wanakuja watu wanamshambulia na kumkejeli.Kuishi na watu ni.kaz kudadek..watu walio kuwa wanasoma KIPEPEO ndio walio muomba THE BOLD afungue grp la whats app japp wampe yakupozea koo kwa kazi nzur
SasaCHARMILTON na wenzio mnaobeza bila kujua hivi story ya KIPEPEO mmeisoma kweli??
Maana ni.nzur ..so watu wakaona soo kusoma bure inakuwa kama wanamuiba mshikaji vile...THE.BOLD hajabagua watu kabisa .....
Watu wasengerema kinoma eti sifa anazo pewa na watoto wa kike...wakuu kutafsir si jambo la kitoto
Usome uelewe then uandike then jitu linacopy kilais lais hivyo...yanakuja majitu yanasemwa yanatengwa
Someni KIPEPEO muone ushujaa wa huyu wa mtu
Achen zenu jamaa.yupo gerezan anamkosa cheupe na majitu inatibua zaid huku
We nawe pabaya pana kuwasha, si bure.Aiseeeeeeeee sikuwahi kufikiri kama nyie watu mna chuki kubwa kiasi hiki!
Japo hatufahamiani lakini tumekuwa tukiishi kwa upendo humu kwa kuquoteana na kupeana likes ktk threads mbalimbali kwa furaha kumbe hizi ndio rangi zenu halisi?
Suala la hii mada na case ya kucopy makala kutoka group la WhatsApp linahusiana vipi na mimi au hadi mfikie kumuambia The bold kajawa kiburi cha wanawake?
Hii ni mara ya kwanza yeye kulalamikia suala la makala zake kukopiwa?
Lakini kama ilivyo ada ya mja kunena hamkosi sababu.
Malalamiko yake mengine yaliyopita wapo waliosema anatafuta kick,hivyo hata sasa baada ya yeye kuwa nami sababu zimekuwa mimi ndiye niliyetumia ID yake hapa,anatumia makala zake kama chambo,anajitafutia credits za Ke.
Poor you guys,I used to respect you nikidhani ni watu wa maana kumbe ni wapuuzi fulani wenye wivu na chuki kali.
Mngekuwa maGT wa ukweli mngelumbana hoja kwa hoja bila kuingiza masuala mliyoyaingiza.
Mmejishushia heshima na nimewadharau kupita kiasi.
Hayakuwa malumbano ya hoja bali personal attack.