Trump anaidhalilisha Marekani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,214
Reaction score
96,338
eti wizara ya ulinzi ameibadili jina na kuiita wizara ya vita! advocating violence upfront
 
Binafsi natama aweke mguu Tanzania ili tuanze upya.
 
eti wizara ya ulinzi ameibadili jina na kuiita wizara ya vita! advocating violence upfront

hilo ndiyo jina lake original, iliitwa hivyo wizara ya vita mpaka mwaka 1950 ndiyo ikabadilishwa jina kwenda wizara ya ulinzi sababu ya soviet union, sasa soviet ilianguka hivyo wizara ya vita imerudi tena isitoshe USA anatandika venezuela sasa hivi tunavyoongea, sasa hauoni kama hilo jina la wizara ya vita liko sahihi kwani venezuela haja-attack USA kusema kwamba USA ijilinde na wizara ya ulinzi ...
 
eti wizara ya ulinzi ameibadili jina na kuiita wizara ya vita! advocating violence upfront
advocating violences kwa mkutadha upi?
Mbona Marekani siku zote advocating violences kuanzia Vitinamu, Korea, panama, Iraq, cuba, Kosovo, Pakistani, Iran, Bolivia n.k
Tangu miaka ya 1950s mpaka leo Marekani ime-advocates Makumi ya vita kila pembe ya Dunia!
TAFAKARI!!!
 
Past misdeeds should not extend to the modern world!
 
He is just being real to the actual role of the Ministry.
 
Na hapa kwetu tubadilishe:-
1. TISS iitwe TICCM.
2. JWTZ iitwe JCCM.
3. Polisi iitwe policcm.
4. Mahakama iitwe iitwe mahakama-ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…