Trump amtukana ya nguoni Marco Rubio!

Trump amtukana ya nguoni Marco Rubio!

This is uncivilized type of campaign, Trump is a world disaster
 
Na kuna kila dalili za kukatwa mshenzi huyo, kwa taarifa yako. Trump hakubaliki!!!
 
in short Rubio ndiye aliyemwambia Donald kuwa mikono yake ni midogo na watu husema kuwa mtu mwenye mikon midogo basi mambo flani pia ni madogo..ila Donald hakumtukana yeye alisema tu kuwa yuko sawa na ana wa guarentee wamarekani kuwa yuko poa na sio kama rubio alivyosema.......mtaalamu rudi skul please!! cc ngabu
 
Back
Top Bottom