Soliambingu
Member
- Sep 12, 2016
- 65
- 30
Wajinga sana cnn walimsema sana kwa uongo wakidhani mtu wao atashinda ni kama bongo kuna vistasheni fulani vya kijanja vitakavyoanguka na kijani itapoanguks
Mkuu hata mm namshangaa mleta mada ila simlaumu maana lugha ya malkia ni tatizo.. Mbaya zaidi kuna wachangiaji ambao hata hawajafungua hiyo video.. Naanza kuamini ule utafiti wa kuwa kati ya watanzania wanne mmoja ni kichaaHaha dah mkuu umepata wapi hii? Hakuna mtu aliyenyanganywa passport!issue ya passport ni kutokana na habari zilizokua zina treand kwenye media kua mfanyakazi wake anayefahamika kwa jina la Michael alikua Prague ila baada ya kumwita ofisini kwake na kuangalia passport yake akakuta haikua kweli kua alikua nje ya marekani kwa wakati huo! Hvyo anataka shirika lililotoa habari za uongo liombe radhi!
co njee ya ukumbi tu! Pemben mwa debe ya kinyesi kabsaaaaBe the first to reply.
Napata picha ndiyo Tz raisi anakwambia subiri zamu yako siyo wewe halafu unakazana kuongea, unaweza kujikuta nje ya ukumbi wa habari
Ingawa mleta mada kaongeza sukari lakini .......Kamnyang'anya passport kwani Trump ana power gani sasa hivi za kuexecute executive power?