Trump amponda mtangulizi wake Na Kusema amerithi Matatizo.

Trump anahangaika tu. Naona anajaribu kupunguza machungu kukataliwa na Robert Harward. Akumbuke president Obama alikuta matatizo zaidi ya kwake. Obama alianza kuiongoza US ikiwa inachechemea kiuchumi toka vita vya Afghanistan na Iraq lakini Obama hakulalamika alipiga kazi.

Kinachomponza Trump anaropoka sana. Ukiwa president fanya kazi yako kwa heshima. Yeye kila siku matamko yasiyo na mashiko. Si alitaka urais? Apambane na changamoto zake sasa.
 
In US they dont need strong leaders they need strong institutions. Haya Mambo ya strong leaders ni Afrika ambapo watawala wanaabudiwa. Naona Trump anataka kuwa kama viongozi vilaza wakiafrika
dalili za kushindwa kazi aliyoomba mwenyewe
 
In US they dont need strong leaders they need strong institutions. Haya Mambo ya strong leaders ni Afrika ambapo watawala wanaabudiwa. Naona Trump anataka kuwa kama viongozi vilaza wakiafrika
Marekani kwa sasa inafukuta
 
Back
Top Bottom