Trump amkana Putin kwa kejeli

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,237



I don't know Putin, have no deals in Russia, and the haters are going crazy - yet Obama can make a deal with Iran, #1 in terror, no problem!
 
Namshauri Trump afanye kazi kivyake, asifanye reference ya alichokifanya Obama, muda wa siasa umeisha.

Kama Obama alipendwa, yeye hawezi kupendwa kwa kumpinga Obama, afanye yake tu.
 
Alupohojiwa na mtangazaji wa Fox kuwa Putin ni killer
Akajibu
"Are we innocent?
Hawezi kumnanga Putin kutokana na mchango wake katika kupata Urais
 
Y
Alupohojiwa na mtangazaji wa Fox kuwa Putin ni killer
Akajibu
"Are we innocent?
Hawezi kumnanga Putin kutokana na mchango wake katika kupata Urais
Yeah yaani hapo amekejeli tuu na amemkejeli Obama na Congress ambao hata Republican hawataki kuwasikia hao Russians
 
Back
Top Bottom