Trump alimlazimisha binti kufanya mapenzi

Trump alimlazimisha binti kufanya mapenzi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,680
Reaction score
58,677
Jarida ya The people Magazine limeripoti kuwa mwaka 2005 binti huyo akiwa Mdogo alilazimishwa na Trump kumu piga kiss pasipo lithaa yake pia alimpush kwa nguvu kwenye ukuta na kusababisha ampige denda bila ruhusa yake .

Physically Attacked by Donald Trump – a PEOPLE Writer’s Own Harrowing Story

My take : ikulu ni pagumu kweli mwaka huu?

Swali jingine hawa si ndio wanatuaminisha kwamba ni wataaramu wa vetting mbona wagombea wa mwaka huu kashifa zimekuwa kibao?

Habari hii imetangazwa pia na BBC
 
kwa wenzetu uko mpaka ukikalia kiti cha uraisi wamekumaliza pengine ata kukuvua nguo kabisa.
 
hizo ni siasa maji taka

kila mtu ukufunguliwa ukurasa wake wa yale yaliyo sirini na kufichika mbona tutakimbiana
 
Naona kama inalazimishwa saaaana iwe scandal.
Unaweza kulazimisha kubusiwa???
 
USA na kwetu tofauti ndogo sana
Kule mshindwaji anakuwa anajijua,na anatumwa kwenda kushindwa,
Kwetu mshindi anapangwa na anajua atamshinda mwenye matumaini ya kushinda
Of course u have a point rais wa marekani ni systematic
 
Yeye si alijifanya mjanja wa Kuwakusanya Wabibi wa miaka ya 80 huko eti walikuwa Abused NA Billy..Sasa NA.Sisi Team Hillary Lazima Tuyabumbulue madudu yake..mbaya zaidi Yeye Ni Yeye Yeye anasema ambaye si mgombeya..Patamu hapoo.Mbona NA Picha ya icho kitoto IPO Utube..yaani.Ni Live..Usicheze NA Hillary wewe.Nasikia ana Mabomu ya Don mengine siku 5 Kabla ya Kula Lazima Trump apagawe.
 
Duuuh naona hii saga ndio inamumalizia kabisa
 
Watahangaika sana hawa ni wale waliokua wanapiga deal wakiitumia vibaya America kuua watu hovyo na kupindua serikali za nchi zingine sasa Trump lao linakuja kuwashika wamebrooo
 
kibongo bongo utaambiwa mchochezi ila ulaya hakuna tatzo
 
Okay! Kumbe umesoma tu. Mimi niko huko uliyoyasoma si ya kweli kwa asilimia zote,
nintchdbpict000260451144-e1471602757934.jpg
HIYO PIA UONGO MKUU?
 
Siasa za majitaka bali ziko hata kwa waliendelea, kwa hiyo tusishangae zikiwepo hapa Tz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom